Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kujua-Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kujua-Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

7/16/2019

Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great LoveπŸŽ¦πŸŽ¦πŸŽ‰πŸŽ‰


Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love


Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio.

7/01/2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”πŸŽ΅πŸŽ΅πŸ‘πŸ‘πŸŽ‰πŸŽ‰


 Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love


Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote.
Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa,
wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu.
Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.
Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana?
Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo?
Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu?
Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?
Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana?

5/16/2019

Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi)



Yu Shunfu ni muumini katika ulimwengu wa dini ambaye huenzi na huabudu wachungaji na wazee wa kanisa. Yeye hufikiri "wachungaji na wazee wa kanisa wote walikuzwa na Mungu, na kutii wachungaji na wazee wa kanisa ni kutii Mungu, "kwa hivyo yeye humsikiza mchungaji wake katika yote anayofanya, hata katika mambo ya kukaribisha kuja kwake Bwana.
Lakini kupitia kwa mjadala mzuri sana, Yu Shunfu amekuja kuona kuwa kuzingatia dhana za dini ni upuzi na upumbavu, na mwishowe anagundua kuwa kumtukuza Mungu huja kwanza katika imani, na kwamba lazima yeyote asetiri "hekalu" la moyo kwa ajili ya Mungu. 

3/06/2019

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days


Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana kiu ya Yeye kuonekana wamekuwa wakirudi mmoja kwa mmoja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Kwa sasa, serikali ya China na wachungaji na wazee wa kanisa wa kidini wamelizuia na kulitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu bila kukoma tangu mwanzo hadi mwisho.