8/26/2018

Uzoefu wa Kutenda Ukweli

Hengxin     Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan
Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia "Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia kwa Maisha," jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku.

8/25/2018

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu, kwa kuwa Anamsimamia mtu,
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili? Mwenyezi Mungu asema, "Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu;badala yake, mwanadamu anachukua mtazamo wa dharau, kusubiri ufunuo na mwongozo wa Mungu.

8/24/2018

Tofauti Kati Ya Kumfuata Mungu na Kuwafuata Watu

Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu

5. Tofauti Kati Ya Kumfuata Mungu na Kuwafuata Watu

Maneno Husika ya Mungu:
Kilicho na umuhimu mkuu katika kumfuata Mungu ni kwamba kila kitu kinapaswa kuwa kwa kadri ya maneno ya Mungu leo: Kama unafuatilia kuingia katika uzima au kutimiza mapenzi ya Mungu, kila kitu kinapaswa kulenga maneno ya Mungu leo. Kama kile ambacho unawasiliana kwa karibu na kufuatilia hakilengi maneno ya Mungu leo, basi wewe ni mgeni kwa maneno ya Mungu, na umeondolewa kabisa katika kazi ya Roho Mtakatifu. Kile ambacho Mungu hutaka ni watu ambao huzifuata nyayo Zake. 

Upendo wa Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu📝💓

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ushuhuda

🌻🌻🌻💞💞💞💞💞💞💞🌻🌻🌻
😇😇🌺🌺**************🌺🌺***************🌺🌺😇😇

Upendo wa Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu

Danyi     Mkoa wa Sichuan
Kuna hisia ya hatia ambayo huchemka moyoni mwangu kila wakati ninapoona maneno haya ya Mungu: “Tatizo kubwa mno kwa mwanadamu ni kuwa yeye hufikiria tu kuhusu hatima yake na matarajio, na kuyaabudu. Mwanadamu humfuata Mungu kwa ajili ya hatima yake na matarajio; yeye hamwabudu Mungu kwa sababu ya upendo wake kwake.

8/23/2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (4) - Kwa Nini Mungu Anakuwa Mwili Mara Mbili ili Kuwaokoa Wanadamu


Katika Enzi ya Neema, Mungu mwenye mwili alipigiliwa misumari msalabani, Akazichukua dhambi za mwanadamu na kukamilisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Amepata mwili kuonyesha ukweli na kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa. Hivyo kwa nini Mungu anahitaji kupata mwili mara mbili ili kufanya kazi ya wokovu wa mwanadamu? Mwenyezi Mungu asema, "Kupata mwili mara ya kwanza kulikuwa kumkomboa mwanadamu kutoka katika dhambi kupitia mwili wa Yesu, hivyo, Aliokoa mwanadamu kutoka kwa msalaba, lakini tabia potovu ya kishetani ilibaki ndani ya mwanadamu.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita

Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile watu wana kasoro nyingi sana, na akili zao ni za kawaida sana, na, zaidi ya hayo, kwa kuwa uwezo wao wa kukubali ni haba mno, bila kujali vile Mungu hunena maneno Yake kwa dhahiri, wanabaki palepale bila kutikisika, kana kwamba wana ugonjwa wa akili.

8/22/2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu🎬👍

🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻~~~~~******~~~~~🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺   👏👏👏👏👏👏👏^^😇😇😇😇😇😇😇^^🎊🎊🎊🎊🎊🎊

Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Lakini kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17:24-25).

Mungu Ana Nia Nzuri Zaidi

Nimechagua kumpenda Mungu, nitatii chochote atakachochukuwa Yeye.
Sitoi neno lolote la ulalamishi, licha ya uchungu.
Uhuru usiozuilika wa mwanadamu unastahili adhabu ya Mungu.
Uasi ni wangu binafsi, sifai kukosea mapenzi ya Mungu.
Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.
Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

8/21/2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000🌺👉

🌺🌺🌺~~~~~~~~~~^^^^^^^^^*************~~~~~~~~~🌺🌺🌺

🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻

Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je, unaweza kutambua kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu kwa kutazama siri ambazo Mwenyezi Mungu amezifunua? Tazama video hii fupi!

Yaliyopendekezwa : Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Nataka Kumwimbia Mungu

Nimepata mengi kutoka kwa kazi ya Mungu ya ukweli.
Kutoka kwa maneno Yake, upotovu wa mwanadamu nimeona.
Kutoka kwa ukweli Wake, tabia ya Mungu, maana ya maisha nimejua.
Hukumu ya Mungu inafichua uasi wa mwanadamu, upotovu wa kishetani unaonekana.
Majaribu hufichua ukosefu wangu wa ukweli, nikiamguka mbele ya Mungu natubu.

8/20/2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)🎬😇


🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻👏👏👏👏👏👏👏👏👏

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)

"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya! 


Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki 

Nyimbo za Injili | Kilio kwa Dunia ya Mikasa

Nyimbo za Injili | Kilio kwa Dunia ya Mikasa

Kuelea katika wakati, kupitia maisha. Miaka inageuka kama ndoto.
Tukizunguka kwa ajili ya umaarufu na mali.
Maisha kutumika kwa vitu vya mwili. Hakuna kitu ambacho kimetolewa kwa ukweli.
Siku, miezi, na miaka inapita tu hivi.
Hakuna fikira ya mateso ya Mungu mwenyewe ama uzuri Wake mkuu.