1/26/2018

007 Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,nyimbo

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja


I
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana;
kusanyiko la watu wampendao Mungu.
Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu,
furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu.
Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana,
tunaishi katika upendo wa Mungu.
Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili.
Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja.
Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …
II
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana;
kusanyiko la watu kote ulimwenguni.
Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu.
Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja.
Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana;
na uzoefu na maarifa tuliyonayo.
Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha,
mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro.
Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …
III
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana;
lakini hivi punde tutakuwa tumetengana.
Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu,
tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu.
Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha;
tunapoondoka, tunatumainishana.
Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho.
Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.
Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguNyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni