1/19/2018

Fungua Mlango na Kumkaribisha Bwana-Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Ni Mungu Anayezungumza!

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
Maneno Yake yenye ari ya onyo kwa wanadamu ni mapole na ya amani. Maneno Yake ambayo huhukumu na kufichua dutu potovu ya watu yana utukufu na ghadhabu. Maneno Yake yamejaa mamlaka, nguvu, na yamejaa hekima. Yote ni ukweli, na uzima! Tumetambua sauti Yake na maneno Yake, tumeona kuonekana Kwake!

Ukweli Hutoka kwa Mungu!

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu
Bwana Yesu alisema, “Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, ukweli, na uzima: hakuna mtu ajaye kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14:6).Mwenyezi Mungu anasema, “Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewaerstand” (Neno Laonekana katika Mwili). Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

Ni Nani Aliyezindua Ukweli na Mafumbo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Msifuni Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu anasema, “Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa” (Neno Laonekana katika Mwili).Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

Neno Laonekana katika Mwili!

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu
Mungu anasema,“‘Hapo mwanzo kulikuwa na Neno, naye Neno alikuwa na Mungu, na Neno naye alikuwa Mungu, na Neno likawa mwili.’ Hii (kazi ya kuonekana kwa Neno katika mwili) ni kazi ambayo Mungu atatimiza katika siku za mwisho, na ni sura ya mwisho ya mpango Wake mzima wa uongozi, kwa hivyo Mungu lazima Aje duniani na kudhihirisha maneno Yake katika mwili.”(Neno Laonekana katika Mwili).

Fungua Mlango na Kumkaribisha Bwana!

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Msifuni Mwenyezi Mungu
“Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa”(Ufunuo 3:6). "Tazama, nasimama mlangoni, na kubisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja na yeye, na yeye pamoja na mimi"(Ufunuo 3:20). Bwana Yesu alisema bila shaka Angerudi na kuzungumza zaidi. Ni wale tu wanaoisikiliza kwa makini sauti ya Mungu wanaoweza kuona kuonekana Kwake. Je, umeisikia sauti ya Mungu na kukaribisha kurudi Kwake?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni