7/18/2018

Sifu Mungu | Wewe Tu Unaweza Kuniokoa MimiπŸŽΌπŸŽ™️πŸ˜‡πŸ˜‡

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo


Sifu Mungu | Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

 I 
Mnyenyekevu na Uliyejificha, Waambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe. Na Wastahili upendo wao. Afadhali Uteseke Mwenyewe, ili Umwezeshe mwanadamu apate faida. Na Wanyesha uzima juu yao. Moyo Wako unapendeza kweli, Wewe ni mwenye haki sana na Wastahili sifa ya mwanadamu. Maneno Yako yanitwaa. Hukumu Yako yanitakasa. Wewe pekee Waweza niokoa. Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha. Wewe tu Waweza kunikamilisha. Wewe tu.
 II
Upendo Wako wanibeba kupitia njia ya dhiki, na ninaonja utamu. Ukifahamu mwanadamu ni mnyonge, Wewe waweza kuwaelewa. Mwanadamu angewezaje kukusahau Wewe? Unaishi na watu na kuwaongoza binafsi (binafsi), ukiwapa kitu cha kutegemea (kitu cha kutegemea). Wateseka kwanza, ukiwa mfano kamili. Na upendo Wako u kati ya mwanadamu. Maneno Yako yanitwaa. Hukumu Yako yanitakasa. Wewe pekee Waweza niokoa. Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha. Wewe tu Waweza kunikamilisha.
III
 Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana. Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu. Kama ningekuamini lakini nisikupe moyo wangu wote, ningeishi maisha yangu nikijuta. Ikiwa ningekuamini lakini nisiwe mwaminifu, basi ningekuwaje mwanadamu? (Hah ... hah ... hah ... hah ...) Maneno Yako yanitwaa. Hukumu Yako yanitakasa. Wewe pekee Waweza niokoa. Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha. Wewe tu Waweza kunikamilisha. Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana. Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu. Wewe tu Waweza kuniokoa. Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.
 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kujua zaidi: Msifuni Mwenyezi Mungu (MV), Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni