4/26/2019

Kusonga kwa Kazi ya Mungu Ulimwenguni

Watu duniani watakubali kushindwa na Mungu, watiifu kama malaika walivyo,bila kutaka kupinga ama kuasi; hii ni kazi ya Mungu katika ulimwengu mzima.
I
Mungu amekuwa na mwanadamu kwa miaka, hakuna ambaye amekuwa na ufahamu,
hakuna yule ambaye amemjua Yeye; sasa maneno ya Mugu yanawaambia Yeye yuko hapa.
Anamtaka mwanadamu aje mbele Yake, ili apokee kitu kutoka Kwake.
Ilhali bado mwanadamu anaendelea kuwa mbali; sio ajabu hakuna anyemjua Yeye.
II
Mungu Anapotembea katika ulimwengu mzima, mwanadamu anaanza kutafakari zaidi.
Anakuja mbele ya uwepo wa Mungu na kuinama kwenye magoti yao na kumwabudu Mungu.
Hii ni siku ya utukufu wa Mungu, ya kurudi kwa Mungu na kuondoka Kwake.
Hii ni siku ya utukufu wa Mungu, ya kurudi kwa Mungu na kuondoka Kwake oh!
III
Mungu ameanza kazi Yake kati ya wanadamu na mpango Wake wa mwisho katika ulimwengu.
Yeyote asiyesikia, ataonja adhabu isiyo na huruma.
Hii sio moyo wa Mungu kuwa baridi; hii ni hatua tu ya mpango Wake,
ambayo lazima ifuatwe na vitu vyote; huu ni ukweli ambao hakuna anayeweza kubadilisha.
Watu duniani watakubali kushindwa na Mungu, watiifu kama malaika walivyo,
bila kutaka kupinga ama kuasi; hii ni kazi ya Mungu katika ulimwengu mzima.
IV
Wakati ambapo Mungu ameanza kazi Yake rasmi, watu wote wanamfuata Yeye.
Ulimwengu unashugulika na Mungu; dunia inafurahia, watu wanaamka.
Joka kuu jekundu linazunguka, linamtumikia Mungu bila kupenda.
Haliwezi kufuata dhamira yake mwenyewe, lakini lazima litii udhibiti wa Mungu.
V
Joka ni foili, foili ya mpango wa Mungu, adui wa Mungu na mtumishi Wake.
Ili kukamilisha hatua Yake ya mwisho ya kazi, Mungu anapata mwili katika pango lake,
hivyo joka linatumikia Mungu vema zaidi; lazima lishinde ili kufikisha mwisho mpango wa Mungu.
Malaika wanaungana na Mungu katika mapambano ili kuufurahisha moyo wa Mungu katika hatua ya mwisho,
ili kuufurahisha moyo wa Mungu katika hatua ya mwisho.
Watu duniani watakubali kushindwa na Mungu, watiifu kama malaika walivyo,
bila kutaka kupinga ama kuasi; hii ni kazi ya Mungu katika ulimwengu mzima.
kutoka katika "Tamko la Ishirini na Tisa" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Masomo yanayohusiana: Nyimbo za InjiliNeno la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni