7/15/2019

Fuata Njia ya Mungu katika Vitu Vyote Vikubwa na Vidogo

Ili kufuata njia ya Mungu,
usiache chochote kilicho karibu na wewe,
ama kile kinachofanyika karibu na wewe,
hata kama ni kidogo sana na kidogo.
Ilimradi kifanyike,
kama unahisi kinastahili umakinifu wako ama hapana,
usikiache.
Kione kama jaribio kutoka kwa Mungu wetu.
Na ukiwa na mtazamo huu,
basi inathibitisha kitu kimoja:
Moyo wako unamcha Mungu na unataka kuepuka maovu.
Kama unataka kumfanya Mungu afurahi,
basi huko mbali sana
na kuishi katika heshima ya Mungu na kuepuka uovu wote.
Mambo ambayo ni makubwa ama madogo,
anapofuata njia ya Mungu, hakuna tofauti kabisa,
hakuna tofauti kabisa.
Vitu ambavyo huvijali ama kuongea kuhusu,
unaamini kuwa viko mbali na ukweli,
unayaacha bila kufikiria sana yanapokufanyikia.
Unayaacha tu bila kufikiria sana.
Kama unataka kumfanya Mungu afurahi,
basi huko mbali sana
na kuishi katika heshima ya Mungu na kuepuka uovu wote.
Jambo moja unalofaa kuelewa kabisa:
Chochote kinachokufanyikia wewe,
unafaa kukiona kama fursa ya kujifunza
jinsi ya kumwogopa Mungu na kuepuka maovu yote.
Na unafaa kujua kile ambacho Mungu anafanya wakati huo.
Yeye yuko katika upande wako,
Akitazama maneno yako yote na matendo,
na mabadiliko katika moyo wako.
Hii ndiyo kazi ambayo Mungu anafanya. Hii ndiyo kazi ambayo Mungu anafanya.
Kama unataka kumfanya Mungu afurahi,
basi huko mbali sana
na kuishi katika heshima ya Mungu na kuepuka uovu wote,
na kuepuka uovu wote.
kutoka katika "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" katika Neno Laonekana katika Mwili

  Dondoo Nyingine ya Filamu: Kueneza injili ya kushuka kwa ufalme na kushuhudia kuonekana kwa Mwenyezi Mungu na kazi Yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni