Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Njia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Njia. Onyesha machapisho yote

7/15/2019

Fuata Njia ya Mungu katika Vitu Vyote Vikubwa na Vidogo

Ili kufuata njia ya Mungu,
usiache chochote kilicho karibu na wewe,
ama kile kinachofanyika karibu na wewe,
hata kama ni kidogo sana na kidogo.
Ilimradi kifanyike,
kama unahisi kinastahili umakinifu wako ama hapana,
usikiache.
Kione kama jaribio kutoka kwa Mungu wetu.

1/25/2019

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God



Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti Yake;
palipo na nyayo za Mungu,
pana matendo ya Mungu, matendo ya Mungu.