10/03/2019

“Kumbukumbu Chungu” – Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni? | Filamu za Kikristo (Movie Clip 4/5)


“Kumbukumbu Chungu” – Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni? | Filamu za Kikristo (Movie Clip 4/5)


Watu wengi wanasadiki kwamba kwa kumsadiki Bwana Yesu dhambi zao zinasamehewa, kwamba wanaokolewa kupitia kwa imani, na zaidi kwamba pindi mtu anapookolewa anaokolewa milele, na pindi Bwana anaporudi ananyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni! Ilhali Bwana Yesu alisema, "Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21). Watu hawa wanaomwita "Bwana, Bwana" wote ni watu ambao wameokolewa kupitia kwa imani yao katika Bwana, hivyo kwa nini si kila mmoja wao anaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Ni nini kinachoendelea hapa? Ni nini hasa uhusiano kati ya kuokolewa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni?

Je, kuokolewa kwa neema ni sawa na kupokea wokovu kamili? Ni yepi masharti ya kupokea wokovu kamili? Tunakusanya baadhi ya maswali yanayoonyesha ukweli kuhusu wokovu na wokovu kamili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni