10/06/2019

“Wimbo wa Ushindi” – Washindi wanakuwa aje? | Swahili Gospel Movie Clip 3/7




“Wimbo wa Ushindi” – Washindi wanakuwa aje? | Swahili Gospel Movie Clip 3/7


Je, unajua historia ya uumbaji wa washindi 144,000 waliotabiriwa na Kitabu cha Ufunuo? Je, unaelewa umuhimu wa Mungu kuruhusu Chama Cha Kikomunisti cha China kutekeleza udhalimu wake wa hasira, ukandamizaji, na mateso ya watu waliochaguliwa na Mungu? Mwenyezi Mungu anasema, “Wale wanaoitwa washindi na Mungu ni wale ambao bado wanaweza kusimama kama mashahidi, wakidumisha imani yao, na ibada yao kwa Mungu wanapokuwa chini ya ushawishi wa Shetani na kuzingirwa na Shetani, hiyo ni, wanapokuwa katika nguvu za giza.  Kama bado unaweza kudumisha moyo wa utakaso na upendo wako wa kweli kwa Mungu kwa vyovyote vile, unasimama shahidi mbele ya Mungu, na hii ndio Mungu Anaita kuwa mshindi.” (Neno Laonekana katika Mwili). Ni kwa njia ya udhalimu wa hasira na mateso makali ya Chama Cha Kikomunisti cha China ndiyo Mungu hufanya na kukamilisha kundi la watu kuwa washindi kwa neno Lake. Wao pia ni kundi la watu ambao wanateseka na Kristo katika ufalme Wake.

Tazama Zaidi: Filamu za Kikristo "Wokovu" | Does Forgiveness of Sins Mean Full Salvation?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni