Siku za mwisho tayari zimefika, na waumini wengi wanatamani Bwana arudi na kuwachukua kwenda katika ufalme wa mbinguni. Lakini unajua Bwana atakavyoonekana kwetu Atakaporudi? Je, kweli itakuwa kama tunavyofikiria, kwamba Ataonekana wazi, moja kwa moja Akishuka juu ya wingu? Mwenyezi Mungu alisema, "Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu?… Yesu Atarejea kwa namna gani? Mnaamini kuwa Yesu Atarudi juu ya wingu jeupe, lakini Nawauliza: wingu hili jeupe linaashiria nini? Na kwa kuwa wafuasi wengi wa Yesu wanangoja kurejea Kwake, Atashuka miongoni mwa watu wapi?" "Mtakapoona Yesu Akishuka kutoka juu mbinguni juu ya wingu jeupe kwa macho yenu wenyewe, huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. …
"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu. kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
5/15/2018
5/14/2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili. Baada ya kukubali kuaminiwa, nilihisi uwajibikaji kamili, kupata nuru kamili, na hata nikafikiri kwamba nilikuwa na uamuzi kiasi fulani. Niliamini kuwa nilikuwa na uwezo na ningeweza kutekeleza kazi hii vizuri. Kwa kweli, wakati huo sikuwa na maarifa kabisa ya kazi ya Roho Mtakatifu au ya asili yangu mwenyewe. Nilikuwa naishi kabisa katika kujiridhisha na kujitamani.
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu
Kwa kweli, hawajasikitika, na wamekuwa wakitazama kile ambacho kimefanywa kwa miaka elfu sita iliyopita mpaka leo, kwa kuwa Sikuwaacha. Badala yake, kwa sababu mababu zao walikula tunda kutoka kwa mti wa ujuzi wa mema na maovu lililotolewa na yule mwovu, waliniacha kwa ajili ya dhambi. Mema ni Yangu, wakati maovu ni ya yule mwovu ambaye hunihadaa kwa ajili ya dhambi. Mimi Siwalaumu mwanadamu, wala Siwaangamizi kwa ukatili au kuwatolea kuadibu kusiko na huruma, kwani uovu haukuwa wa wanadamu kiasili.
5/13/2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 19

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Kumi na Tisa
Mwenyezi Mungu alisema, Ni shughuli sahihi ya mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha. Lakini, mbali na kuridhishwa na mambo yalivyo, Naendelea kutoa matakwa kwa binadamu. Napenda sifa za mwanadamu, lakini Nachukia wizi wake.
Matamshi ya Mungu | Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya
Mwenyezi Mungu alisema, Nyote mmeshuhudia wenyewe kazi ambayo Nimefanya miongoni mwenu, ninyi wenyewe mmesikia maneno ambayo Nimenena, nanyi mnajua mtazamo Wangu kuelekea kwenu, kwa hiyo mnapaswa kujua kwa nini Ninafanya kazi hii miongoni mwenu. Nitawaambia ukweli—ninyi ni vifaa tu vya kazi Yangu ya ushindi katika siku za mwisho; ninyi ni vyombo vya kupanua kazi Yangu miongoni mwa nchi za Mataifa. Mimi huzungumza kupitia kwa udhalimu wenu, uchafu wenu, upinzani na uasi wenu ili kupanua bora zaidi kazi Yangu ili jina Langu lienee miongoni mwa nchi za Mataifa, yaani, kuenea miongoni mwa nchi yoyote nje ya Israeli.
5/12/2018
Filamu za Injili | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kilibuni Tukio la 5/28 la Zhaoyuan?
Baada ya kesi ya hadharani ya Tukio la Shandong Zhaoyuan, watu wenye utambuzi wote walitambua kuwa kesi hii ilibuniwa kabisa na Chama cha Kikomunisti cha China ili kulisingizia na kuliaibisha Kanisa la Mwenyezi Mungu kwa makusudi. Ilikuwa kesi ya kuundwa na utumiaji vibaya wa haki. Sababu ya nia mbaya ya Chama cha Kikomunisti cha China kufanya hivi ni nini?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake.
Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
Mwenyezi Mungu alisema, Katika miaka hii miwili hadi mitatu ya kazi, kile kilichopaswa kutimizwa katika kazi ya hukumu iliyofanyika juu yenu kimetimizwa kimsingi. Watu wengi wamesahau matarajio na kudura yao ya baadaye. Hata hivyo, inapotajwa kuwa ninyi ni uzao wa Moabu, wengi wenu huchukizwa sana—nyuso zenu hubadilika, vinywa vyenu hupinda, na macho yenu hukodolea. Hamuwezi kabisa kuamini kwamba ninyi ni uzao wa Moabu. Moabu ilifukuzwa hadi nchi hii baada ya kulaaniwa. Ukoo wa wana wa Moabu umerithishwa mpaka leo, na ninyi nyote ni uzao wake. Hakuna kitu ambacho Ninaweza kufanya—nani aliyekusababisha uzaliwe katika nyumba ya Moabu? Ninakuhurumia na Siko radhi uwe hivi, lakini ukweli hauwezi kubadilishwa na watu.5/11/2018
Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu
Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu. Kwa hivyo, akilini mwake, alilinganisha kuamini katika Bwana na kuamini katika Biblia. Alidhani kwamba wale walioachana na Biblia hawakuweza kuitwa wafuasi wa Bwana. Pia aliamini kwamba alihitaji tu kufuata Biblia ili kuchukuliwa kuenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaposhuka na mawingu.
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufahamu wako wa “Baraka” ni Upi
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufahamu wako wa “Baraka” ni Upi
Ingawa wale waliozaliwa katika enzi hii wametiishwa chini ya upotovu wa Shetani na mapepo wachafu sana, pia ni kweli kwamba wanaweza kupata wokovu mkuu kutokana na upotovu huu, hata mkubwa kuliko mifugo wanaotanda milima na tambarare na mali nyingi ya familia ambayo Ayubu alipata, na pia ni zaidi ya baraka ambayo Ayubu alipokea ya kumwona Yehova baada ya majaribu yake. Ilikuwa tu baada ya Ayubu kupitia jaribio la kifo ndipo angeweza kuyasikia maneno ya Yehova na angeweza kusikia sauti Yake ya mshindo kutoka mawinguni. Hata hivyo, hakuuona uso wa Yehova na hakujua tabia Yake. Kile Ayubu alipata kilikuwa tu mali ya kimwili ambayo hutoa furaha za mwili na watoto wazuri mno katika miji jirani pamoja na ulinzi kutoka kwa malaika wa mbinguni.
5/10/2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 21

Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu huanguka katikati ya mwanga Wangu, na anasimama imara kwa sababu ya wokovu Wangu. Niletapo wokovu ulimwenguni kote, mwanadamu hujaribu kutafuta njia za kuingia miongoni mwa mtiririko wa marejesho Yangu, ilhali kuna watu wengi ambao huoshwa wasijulukane waliko na gharika hii ya urejesho; kuna watu wengi ambao wamezama na kumezwa na mafuriko haya na kuna watu wengi pia ambao husimama imara huku kukiwa na mafuriko, ambao hawajawahi kupoteza hisia zao za mwelekeo, na ambao wamefuata mafuriko mpaka sasa. Ninaenda hatua kwa hatua na mwanadamu, lakini mwandadamu hajawahi kunitabua;
Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu
Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu. Baadaye Novo alipokuwa akifanya kazi nchini Taiwan alisikia injili ya ufalme, na kwa kuyasoma maneno Yake Mwenyezi Mungu alifikia hitimisho kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu, na kuwa kazi Yake ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho ina uwezo wa kusuluhisha kikamilifu tatizo la asili ya mwanadamu ya dhambi.
5/09/2018
Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?
Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki. Zaidi ya hayo, hata wamezingia makanisa yao na hata kuthubutu kushirikiana na serikali ya CCP kuwakamata na kuwatesa Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Umeme wa Mashariki | Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Wapuriti walitetea dhana za uhuru, usawa, na demokrasia pamoja na mafundisho ya Mungu. Pia walichanganya Azimio la Uhuru la Marekani na Katiba ya Marekani na mambo haya. …Kwa hiyo Wapuriti hakuwa tu kiini cha uanzishwaji wa Marekani, lakini pia walikuwa waasisi walioifanya Marekani kuwa kuu.…Marekani imetekeleza jukumu muhimu katika kuimarisha hali ya kimataifa na kusawazisha utaratibu wa dunia. Jukumu hili haliwezi kufidika katika kulinda na kuimarisha hali ya kimataifa.
Tangu Mungu alipoviumba, kulingana na sheria ambazo Aliziamua, vitu vyote vimekuwa vikitenda kazi na vimekuwa vikiendelea kukua kwa kawaida.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)