Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mweneyzi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mweneyzi-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/12/2019

“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Clip 7


 “Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Filamu za Injili  (Movie Clip 7/7)


Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka. Unaweza kuamsha na kuokoa jamii ya binadamu na vilevile kusababisha watu kujinasua kutoka kwa nguvu zote za Shetani na kumrudia Mungu. Ndiyo sababu, ili kulinda umaarufu wao wenyewe, faida na hadhi, viongozi wa ulimwengu wa kidini humpiga Kristo misumari msalabani tena.

12/30/2018

Swahili Gospel Movie Clip (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu


Kimsingi unabii wote uliotajwa katika Biblia kuhusiana na kurudi kwa Bwana tayari umetokea. Watu wengi wamehisi kwamba Bwana tayari amerudi, hivyo, tunapaswa kuchunguza vipi ili kuhakikisha kuhusu suala la ikiwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi au la? Tunapaswa kufanya uamuzi wetu kulingana na unabii wa Biblia au tunapaswa kuchunguza moja kwa moja neno na kazi ya Mwenyezi Mungu?

12/06/2018

Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Tukimwamini Bwana Yesu tu, na kutetea njia ya Bwana Yesu, lakini tukose kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, tunawezaje kupokea utakaso na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je, unataka kuwa mwanamwali mwerevu ambaye anaweza kufuata nyayo za Mungu ili kupokea baraka katika ufalme wa mbinguni? Tafadhali tazama filamu hii.

11/27/2018

Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho

I
Kupata mwili kwa Mungu kutachukua kiini na maonyesho ya Mungu.
Na Atakapofanywa kuwa mwili Ataleta kazi ambayo Amepewa
ili kuonyesha kile Alicho, kuleta ukweli kwa wanadamu wote,
kuwapa uzima na kuwaonyesha njia.
Mwili wowote usiokuwa na kiini Chake hakika sio Mungu mwenye mwili.

10/31/2018

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana


Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana

Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa jamaa yake na mfanya biashara mwenza alimhimiza atende kulingana na sheria zisizoandikwa za biashara, na Zhen Cheng alianza kuamini katika misemo inayowakilisha falsafa ya kama vile: "Mwanaume bila kipato cha pili hawezi kamwe kuwa tajiri kama tu jinsi farasi aliyenyimwa nyasi kavu usiku hawezi kamwe kuongeza uzani,” “Wajasiri hufa kwa ajili ya tamaa; waoga hufa kwa njaa," "Pesa si kila kitu, lakini bila pesa, huwezi kufanya chochote," na "Pesa kwanza."

5/11/2018

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu

Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu. Kwa hivyo, akilini mwake, alilinganisha kuamini katika Bwana na kuamini katika Biblia. Alidhani kwamba wale walioachana na Biblia hawakuweza kuitwa wafuasi wa Bwana. Pia aliamini kwamba alihitaji tu kufuata Biblia ili kuchukuliwa kuenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaposhuka na mawingu.

4/05/2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi🎼🎬


Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …
🎼🎼@@@@@🎻🎻@@@@@🌺🌺@@@@@@🎉🎉@@@@@@🎬🎬
    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake.

3/02/2018

Yote kuhusu Mjadala wa "Iwapo Biblia Inatiwa Msukumo na Mungu"



Utambulisho
Kwa miaka elfu mbili, dunia ya kidini imetegemea kile alichosema Paulo kuhusu Biblia kutiwa msukumo na Mungu na daima iliamini kwamba “Biblia ni maneno ya Mungu,” na “Biblia inamwakilisha Bwana.” Je, mawazo haya ni sahihi? Video hii itafichua majibu kwako!

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.

1/16/2018

Umeme wa Mashariki | 45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Wakristo
Wakristo wa China 

Umeme wa Mashariki | 45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa 

NimeharibikaChangkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning
Maneno ya kawaida "Watu wazuri humaliza wakiwa wa mwisho" ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume wangu sote tulikuwa hasa watu wasio na hatia: Wakati wa masuala yaliyohusisha faida au hasara yetu binafsi, hatukuwa aina ya watu wa kubishana na kusumbuana na wengine. Pale ambapo tuliweza kuwa wavumilivu tulikuwa wavumilivu, pale ambapo tungeweza kuwa na fadhila tulifanya tulivyoweza kuwa na fadhila. Kama matokeo yake, mara nyingi tulijipata tukiwa tumedanganywa na kudhulumiwa na wengine.