Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kukubali-Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kukubali-Ukweli. Onyesha machapisho yote

6/12/2019

“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Clip 7


 “Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Filamu za Injili  (Movie Clip 7/7)


Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka. Unaweza kuamsha na kuokoa jamii ya binadamu na vilevile kusababisha watu kujinasua kutoka kwa nguvu zote za Shetani na kumrudia Mungu. Ndiyo sababu, ili kulinda umaarufu wao wenyewe, faida na hadhi, viongozi wa ulimwengu wa kidini humpiga Kristo misumari msalabani tena.

3/13/2018

🧡💖🌱53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu. Aidha, bila kujali kiwango cha dosari kaka na dada zangu wangeonyesha, ningekikiri na kukikubali. Sikutafuta kujitetea mwenyewe, hivyo nilidhani kwamba nilikuwa mtu ambaye kwa hakika alikubali ukweli.