"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu.
kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?
"Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli" (YN. 1:14).
"Mimi ndiye njia, ukweli na uhai" (YN. 14:6).
"Yesu akasema kwake, nimekuwa nanyi kwa muda mrefu, na bado hujanijua, Filipo? Yeye ambaye ameniona amemwona Baba;
Waumini wengi ndani ya Bwana wanasadiki kwamba Bwana atarudi kwa utukufu, akishuka juu ya wingu na kuonekana kwa watu wote, hivyo siku zote wanayaangalia mawingu kwenye mbingu, wakisubiria Bwana kushuka akiwa juu ya wingu, na kunyakuliwa hadi kwenye mbingu na kukutana na Yeye. Je, dhana hii inaenda sambamba na ukweli? Mtu anafaa kufahamu vipi kuonekana kwa Mungu na kazi? Kuonekana kwa Mungu kunayo mafumbo ya aina gani?
Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (5) - Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia?
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliahidi, "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Watu wengi wanasadiki kwamba Bwana alirudi mbinguni, hivyo ni yakini kwamba Anatutayarishia mahali sisi kule mbinguni. Je, ufahamu huu unaenda sambamba na maneno ya Bwana? Je, ni mafumbo yapi yanapatikana kwenye ahadi hii?
Masomo yanayohusiana: Neno la Mwenyezi Mungu, Kurudi kwa Yesu mara ya pili
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Nane
Hali ya watu ni kwamba kadri wanavyoelewa maneno ya Mungu kwa kiasi kidogo, ndivyo wanavyoshuku zaidi njia ya sasa ya Mungu ya kufanya kazi. Lakini hii haina athari kwa kazi ya Mungu; maneno Yake yanapofikia kiwango fulani, kwa kawaida mioyo ya watu itabadilika.
Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano. Wakati wa mahojiano, polisi walimshawishi, kumtisha, kumpiga na kumtesa tena na tena katika majaribio yao ya kumshawishi ili amsaliti Mungu kwa kufichua walipokuwa viongozi na fedha za kanisa.
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Tisa
Kati ya kazi inayofanywa na watu, baadhi yake hutekelezwa kwa maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu, lakini kwa sehemu yake Mungu hatoi maagizo ya wazi, ikionyesha vya kutosha kwamba kile kinachofanywa na Mungu, leo, bado hakijafichuliwa kabisa—ambalo ni kusema, mengi bado yamefichwa na bado hayajajulikana na watu.
Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana
Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa jamaa yake na mfanya biashara mwenza alimhimiza atende kulingana na sheria zisizoandikwa za biashara, na Zhen Cheng alianza kuamini katika misemo inayowakilisha falsafa ya kama vile: "Mwanaume bila kipato cha pili hawezi kamwe kuwa tajiri kama tu jinsi farasi aliyenyimwa nyasi kavu usiku hawezi kamwe kuongeza uzani,” “Wajasiri hufa kwa ajili ya tamaa; waoga hufa kwa njaa," "Pesa si kila kitu, lakini bila pesa, huwezi kufanya chochote," na "Pesa kwanza."
Jina lake ni Zheng Lu, na tangu utotoni, alikuwa hasa ovyo. Kwa sababu ya ushawishi wa kijamii na elimu ya utamaduni wa kidesturi wa Kichina, alisoma bila kuchoka, akitumai kufikia chuo kikuu na kufanikisha ndoto yake ya kuwapiku marika wake na kuwa na mafanikio, lakini ajali isiyotarajiwa ilimharibia ndoto yake. Wakati tu alipohisi vibaya, mnyonge, na asiyeweza kuupata mwelekeo maishani, wokovu wa Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho ulimpata.
Kwa sababu ya kanuni za maneno Yangu, kwa sababu ya utaratibu wa kazi Yangu, watu hunikana; hili ndilo kusudi Langu la kuzungumza kwa muda mrefu (imezungumzwa kuhusu wazao wote wa joka kubwa jekundu). Ni njia ya hekima ya kazi Yangu; ni hukumu Yangu ya joka kubwa jekundu; huu ni mkakati Wangu, hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuuelewa kikamilifu.
Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa juu ya wingu, lakini kuna unabii mwingine katika Biblia unaosema: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi;