Mwenyezi Mungu anasema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi. Kadiri watu wanavyoujua uhalisi zaidi, kadiri wanavyoweza kugundua ikiwa maneno ya wengine ni halisi;
"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu. kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
5/19/2019
5/18/2019
Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?
Mwenyezi Mungu anasema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake. Alitumia sheria hizi kuweza kudhibiti kizazi kipya cha binadamu kilichozaliwa, kuweka msingi wa kazi Yake ambayo ingefuata. Na kwa hivyo, sababu ya kazi ambayo Yehova Alifanya, enzi ya kwanza iliitwa Enzi ya Sheria."
Yaliyopendekezwa: Kumjua Kazi ya Mungu. Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
5/17/2019
Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk)
Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia.
Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki
5/16/2019
Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi)
Yu Shunfu ni muumini katika ulimwengu wa dini ambaye huenzi na huabudu wachungaji na wazee wa kanisa. Yeye hufikiri "wachungaji na wazee wa kanisa wote walikuzwa na Mungu, na kutii wachungaji na wazee wa kanisa ni kutii Mungu, "kwa hivyo yeye humsikiza mchungaji wake katika yote anayofanya, hata katika mambo ya kukaribisha kuja kwake Bwana.
Lakini kupitia kwa mjadala mzuri sana, Yu Shunfu amekuja kuona kuwa kuzingatia dhana za dini ni upuzi na upumbavu, na mwishowe anagundua kuwa kumtukuza Mungu huja kwanza katika imani, na kwamba lazima yeyote asetiri "hekalu" la moyo kwa ajili ya Mungu.
5/15/2019
Neno la Mungu | Sura ya 59
Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa. Kanisa sasa linaingia utendaji rasmi na mambo yote yanaingia kwenye alama sahihi. Mambo hayako yalivyokuwa wakati mlipokuwa na limbuko la mambo yajayo. Lazima msiwe wa kuchanganyikiwa au kuwa bila utambuzi.
5/14/2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 56
Mwenyezi Mungu anasema, "Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake. Fahamu hili! Huu ndio mwanzo wa hukumu Yangu na hakutakuwa na huruma itakayoonyeshwa kwa yeyote na hakuna atakayesamehewa kwani Mimi ni Mungu asiye na hisia ambaye hutenda haki; ingekuwa vyema kwenu kutambua hili.
5/13/2019
"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?
"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?
Waumini wengine huamini kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wamechaguliwa na kuteuliwa na Bwana, na kwamba wote ni watu wanaomtumikia Bwana. Hivyo wanaamini kwamba kuwatii tu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumtii Bwana, na kwamba kuwaasi au kuwahukumu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumpinga Bwana. Wao huamini hata kuwa, katika makanisa, wachungaji na wazee wa kanisa peke ndio huelewa Biblia na huweza kuelezea Biblia, na almradi kile kinachohubiriwa au kufanywa na wachungaji na wazee wa kanisa kinakubaliana na Biblia na kina msingi katika Biblia, basi watu wanapaswa kuwatii na kuwafuata.
5/12/2019
Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?
Mungu mwenyewe hutoa ushuhuda kwa kila mtu Anayemteua na kumtumia. Angalau, wote hupokea uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu, huonyesha matunda ya kazi ya Roho Mtakatifu, na wanaweza kuwasaidia watu wa Mungu waliochaguliwa kupokea utoaji wa maisha na uchungaji wa kweli. Kwa sababu Mungu ni mwenye haki na mtakatifu, kila mtu Anayemteua na kumtumia lazima alingane na mapenzi ya Mungu. Wachungaji na wazee wa kanisa katika kutoka ulimwengu wa kidini hawana neno la Mungu kama ushuhuda, na pia hawana uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu.
5/11/2019
“Ivunje Laana” – Je, Imani katika Biblia ni Sawa na Imani katika Bwana? (Clip 4/7)
Filamu za Injili | “Ivunje Laana” Movie Clip: Je, Imani katika Biblia ni Sawa na Imani katika Bwana?
Wachungaji wengi sana na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini huamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana, na kwamba kuamini katika Bwana ni kuamini katika Biblia, na kuamini katika Biblia ni kuamini katika Bwana. Wao huamini kwamba mtu akiachana na Biblia basi hawezi kuitwa muumini, na kwamba mtu anaweza kuokolewa na anaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni almradi ashikilie Biblia. Je, Bibilia inaweza kweli kumwakilisha Bwana? Je, uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa? Bwana Yesu alisema, "Tafuta katika maandiko;
5/10/2019
"Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?
Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?
Katika siku za mwisho Mwenyezi Mungu anafanya kazi yake ya hukumu na kuleta njia ya uzima wa milele, na ni kwa kukubali ukweli uliolezewa na Kristo siku zile za mwisho tunaweza kupata uzima wa milele. Hata hivyo wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wanasema kwamba uzima upo katika Biblia, na ilimradi tu tuzingatie Biblia basi tunaweza pata uzima wa milele. Je, ni Biblia iliyo na uzima wa milele, ama ni Kristo? Wakati wakale ambapo Bwana Yesu alikuwa akifanya kazi Yake, Mafarisayo walikataa kukubali wokovu wa Bwana msingi wao ukiwa kisingizio kuwa uzima wa milele ulikuwa katika Biblia, kwa hivyo Bwana Yesu akawakemea Mafarisayo akisema, "Tafuteni katika maandiko;
5/09/2019
“Toka Nje ya Biblia” – Mungu Hufanya Kazi Kulingana na Biblia? (Clip 1/2)
Filamu za Injili | “Toka Nje ya Biblia” Movie Clip: Mungu Hufanya Kazi Kulingana na Biblia?
Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anafanya kazi Yake ya hukumu akianza na familia ya Mungu na anaelezea ukweli wote ambao unatakasa na kumuokia mwanadamu, na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini wanahukumu, wakisema kuwa maneno na kazi ya Mwenyezi Mungu huenda zaidi ya Biblia, na kwamba ni uzushi.
5/08/2019
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu
Wakati Bwana Yesu alipoonekana na kufanya kazi, wakuhani wa Kiyahudi, waandishi, na Mafarisayo walikashifu, wakashutumu, na kumkufuru vikali Bwana Yesu. Walimsulubisha Bwana Yesu msalabani, na wakawazuia watu kumkubali Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Mungu amekuwa mwili tena. Amejionyesha na anaifanya kazi. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini wanaipinga na kuishutumu vikali tena kazi ya Mungu ya siku za mwisho, wakiwazuia waumini kwa vyovyote vile dhidi ya kumkubali Mwenyezi Mungu.
5/07/2019
“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” | Video za Kikristo (Movie Clip 4/5)
“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena! | Filamu za Injili (Movie Clip 4/5)
Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Bwana Yesu amerudi kufanya kazi na kuongea. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini vilevile wanaitumia Biblia kuishutumu kazi ya Mungu, na vilevile kumshutumu Mungu kama mtu wa kawaida. Wanafanya kila wawezalo kuwakatiza waumini kuikubali njia ya ukweli. Inashangaza kwamba, historia hujirudia.
Tufuate: App ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tufuate: App ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)