9/07/2019

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

I

Mungu hajali kama mtu ni wa chini ama mkubwa.
Mradi tu anamsikiliza Mungu,
anatii kile ambacho Mungu anaamuru na kumwaminia,
anaweza kushirikiana na kazi Yake, na mpango Wake na mapenzi Yake,
ili mapenzi Yake na mpango uweze kuendelea bila kizuizi,
kitendo kama hiki kinastahili, kinastahili kukumbukwa na Mungu,
na kinastahili kupokea, kupokea baraka Yake.
Mungu anathamini watu kama hao, na Anapenda sana matendo yao,
na moyo wao na upendo Kwake.
Huu ni mtazamo wa Mungu.

II

kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili

Unaweza Pia Kupenda: Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni