9/21/2019

“Kumbukumbu Chungu” – Uhusiano Kati ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni? | Filamu za Kikristo (Movie Clip 5/5)



“Kumbukumbu Chungu” – Uhusiano Kati ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni? | Filamu za Kikristo (Movie Clip 5/5)


Katika ulimwengu wa kidini, kunao wengi wanaosadiki kwamba mradi tu wanahifadhi jina la Bwana, kusadiki kabisa katika ahadi ya Bwana na kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana, wakati Atarudi wanaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Je, yeyote anaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni kwa kumsadiki Bwana kwa njia hii? Ni nini kitatufanyikia kama tusipoikubali kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho? Mwenyezi Mungu anasema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na Kristo wa siku za mwisho, basi kamwe hutapata kibali cha Yesu, na kamwe hutastahili kuingia lango la ufalme wa mbinguni…. Kristo ni lango la binadamu kwa ufalme katika siku za mwisho, ambayo hakuna anayeweza kupita bila Yeye. Hakuna anayeweza kukamilishwa na Mungu ila kwa njia ya Kristo" (Neno Laonekana katika Mwili). Ili kupata ufahamu wenye maelezo zaidi, tafadhali tazama video hii fupi!

Zaidi: Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni