Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maneno-ya-Maonyo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maneno-ya-Maonyo. Onyesha machapisho yote

6/13/2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 74

  Mwenyezi Mungu anasema, “Wamebarikiwa wale ambao wamelisoma neno Langu na kuamini kwamba litatimizwa—Sitakutendea vibaya, lakini Nitafanya yale unayoamini yatimizwe kwako. Hii ni baraka Yangu ikija juu yako. Neno Langu linapiga siri zilizofichwa ndani ya kila mtu. Kila mtu ana majeraha ya mauti, na Mimi ni tabibu mzuri ambaye anayaponya—njoo tu katika uwepo Wangu. Kwa nini Nilisema kuwa katika siku zijazo hakutakuwa tena na huzuni na hakutakuwa na machozi? Ni kwa sababu ya hili.

9/26/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nilifurahia karamu kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ushuhuda

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nilifurahia karamu kubwa

Xinwei    Mkoa wa Zhejiang
Juni 25 na 26 zilikuwa siku zisizohaulika. Eneo letu la Zhejiang lilipata tukio kubwa, viongozi wengi na wafanyakazi wa eneo wakiwa wamekamatwa na joka kubwa jekundu. Ni wachache wetu tu tuliokimbia bila kuumia na, mioyo yetu ikiwa imejaa shukrani, tulikula kiapo cha siri kwa Mungu: kushirikiana vizuri na kazi iliyokuwa ifuate. Kufuatia hilo tulianza kazi yenye msisimko na shughuli nyingi ya kushughulika na matokeo.

11/14/2017

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Umeme wa Mashariki,Yesu,Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
    Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu
   Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika zinaongea kuhusu Mungu mmoja wa kweli, ufalme umeshuka ulimwenguni.
    1. Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika zinaongea kuhusu Mungu mmoja wa kweli, watu wasiohesabika wanaangalia matendo Yake. Ufalme umeshuka ulimwenguni, na mtu wa Mungu yu tajiri na mwenye ukarimu, tajiri na mwenye ukarimu.
Ni nani asiyeshangilia kwa haya (ni nani asiyeshangilia kwa haya)? Ni nani asiyecheza kwa haya (ni nani asiyecheza kwa haya)? Zayuni (Zayuni), Zayuni (Zayuni), inua bango lako la ushindi ili kusherehekea Mungu!