5/30/2018

Umeme wa Mashariki | 40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo

Umeme wa Mashariki | 40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Gan'en    Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katikauingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama "mtu mzuri."

5/29/2018

Umeme wa Mashariki | Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)

Umeme wa Mashariki | Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)

Mwenyezi Mungu alisema, Asili ya mwanadamu ni tofauti kabisa na kiini Changu; hii ni kwa kuwa asili potovu ya mwanadamu inatokana kabisa na Shetani na asili ya mwanadamu imemilikiwa na kupotoshwa na Shetani. Yaani, mwanadamu anaishi chini ya ushawishi wa uovu na ubaya wake. Mwanadamu hakui katika ulimwengu wa ukweli au mazingira matakatifu, na aidha haishi katika mwanga.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (4)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili

    Mnapaswa kujua kuhusu hadithi ya ndani na uumbaji wa Biblia. Ufahamu huu haushikiliwi na wale ambao hawajakubali kazi mpya ya Mungu. Wao hawajui. Waelezee mambo haya ya kiini, na hawatakuwa pamoja nawe wenye kushikilia sana elimu ya vitabuni na sheria kuhusu Biblia. Wao huchunguza kwa uthabiti kile ambacho kimetabiriwa: Kauli hii imeshatimia? Kauli ile imeshatimia? Kukubali kwao injili ni kwa mujibu wa Biblia;

5/28/2018

Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Dhana hizi za kidini hutenda kama kamba zisizoonekana ambazo huzifunga kwa uthabiti na kuzisonga fikira zetu kiasi kwamba hatuitafuti kazi ya Roho Mtakatifu na hutufanya tusiweze kuitii kazi ya sasa ya Mungu.

5/27/2018

Neno la Mwenyezi Mungu | Ni Nini Utambulisho wa Asili wa Mtu na Thamani Yake?

Neno la Mwenyezi Mungu | Ni Nini Utambulisho wa Asili wa Mtu na Thamani Yake?

Mlitengwa kutoka kwa matope na kwa vyovyote vile, mlichaguliwa kutoka kwa mashapo, wachafu na mliochukiwa na Mungu. Mlikuwa wa Shetani[a] na wakati mmoja mlikanyagwa na kuchafuliwa na yeye. Hii ndiyo maana inasemwa kuwa mlitengwa kutoka kwa matope, na nyinyi si watakatifu, lakini badala yake nyinyi ni vitu visivyo binadamu ambavyo Shetani kwa muda mrefu alikuwa amevifanya vipumbavu. Haya ndiyo maelezo sahihi zaidi yenu.

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Tatu

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Leo si tena Enzi ya Neemawala enzi ya rehema, bali ni Enzi ya Ufalme ambamo watu wa Mungu wanafichuliwa, enzi ambayo kwayo Mungu hufanya mambo moja kwa moja kwa njia ya uungu. Hivyo, katika kifungu hiki cha maneno ya Mungu, Mungu huongoza wale wote ambao wanayakubali maneno Yake katika ulimwengu wa kiroho. Katika aya ya ufunguzi, Anatangulia kufanya maandalizi haya, na ikiwamtu ana maarifa ya maneno ya Mungu, atafuata nyuki ili apate asali, na ataelewamoja kwa moja kile ambacho Mungu Anatamani kutimiza kwa watu Wake.

5/26/2018

64. Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukwelinilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Mwenyezi Mungu alisema, Wengine Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwamwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika;

5/25/2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?


Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake. Zilikuwa zimekita mizizi ndani ya moyo wake na zilikuwa zimekuwa kikwazo kwa kujifunza kwake njia ya kweli na pia utumwa uliomzuia kukubali njia ya kweli. Wahubiri wa Kanisa la Mwenyezi Mungu waliposoma kwa subira kwa Mzee Li kuhusu neno la Mungu na kufanya ushirika naye kuhusu ukweli, hatimaye alielewa kuwa si Biblia yote iliyotiwa msukumo na Mungu, lakini ina maneno ya Mungu na maneno ya mwanadamu . Mzee Li sasa alikuwa huru kutoka kwa utumwa na pingu za dhana hizi za kidini.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Akitoa Sheria

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Akitoa Sheria

Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa na utengenezwaji wa ustaarabu wa kimaadili na taasisi za kidemokrasia katika jamii za binadamu.
Neno la Mwenyezi Mungu  | Halafu hebu tusome fahamu zifuatazo.
6. Ibada Mlimani
1) Sifa na Heri (Mat 5:3-12)

5/24/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa

Chaotuo    Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei
Tangu tetemeko la ardhi la Sichuan, daima nimekuwa na hofu na wasiwasi kwamba siku moja huenda nikakumbwa na maafa. Hasa kwa vile nimeona maafayakiongezeka, na matetemeko ya ardhi yakiwa ya mara kwa mara, hofu yangu yamaangamizi imekuwa hata wazi zaidi.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Moja

  Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Moja

Tabia ya Mungu hujumuishwa katika matamko yote ya Mungu, lakini wazo kuu la maneno Yake ni kufichua uasi wa wanadamu wote na kufunua mambo kama kutotii, kuasi, utovu wa haki, udhalimu, na kutoweza kumpenda Mungu kweli. Ni kiasi kwamba, maneno ya Mungu yamefikia kiwango ambacho Yeye husema kwamba kila kinyweleo katika miili ya watu kina upingaji kwa Mungu, kwamba hata kapilari zao zina ukinzani kwa Mungu.

5/23/2018

Watu Wanaoweza Kuwa Watiifu Kabisa Kwa Utendaji wa Mungu Ndio Wale Wanaompenda Mungu Kwa Kweli

Mwenyezi Mungu alisema, Kuwa na ujuzi wa utendaji na kuwa na uwezo wa kuona wazi kazi ya Mungu—yote haya yanaonekana katika maneno Yake. Ni kwa maneno ya Mungu tu ndimo unaweza kupata nuru, hivyo unapaswa kujitayarisha na maneno Yake zaidi. Gawa ufahamu wako kutoka kwa maneno ya Mungu katika ushirika, na kupitia katika ushirika wako wengine wanaweza kupata nuru na unaweza kuwaongoza watu kwenye njia—njia hii ni ya utendaji.