Umema wa mashariki | Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho
Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.” Wengine husema, “Yeye ni halisi kwa njia thabiti. Lakini mwili Wake na Roho Yake ni moja, kwa hivyo Yeye anapaswa kujua hilo!”






