Kama mtoto, Yangwang aliwafuata wazazi wake katika imani yao kwa Bwana, na kama mtu mzima alihudumia Bwana kanisani. Mnamo 2013, kanisa lake lilijiunga na Baraza la Makanisa Ulimwenguni ambalo hutetea uunganishwaji wa kanisa kote ulimwenguni na wingi wa dini. Akisadiki kwamba kusisitiza kwa wachungaji na baraza la wazee wake katika kujiunga na Baraza kulikuwa kuondoka kwa njia ya Bwana na hakuwiani na moyo wa Bwana, hatimaye aliliacha dhehebu lake na kuanza kulitafuta kanisa lililo na kazi ya Roho Mtakatifu.
"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu. kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
9/19/2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki.
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Moja
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Moja
Mungu humfinyanga mwanadamu vipi? Je, unalifahamu hili? Linaeleweka? Nalohufanyika vipi kanisani? Unafikiriaje? Je, umewahi kuyafikiria maswali haya? Ni nini ambalo Anatarajia kufanikisha kupitia kwa kazi Yake kanisani? Je, yote yanaeleweka bado? Kama sivyo, yote ambayo unafanya hayana maana, yamebatilika!9/18/2018
Waumini katika Mungu Wanapasa Kujiandaa kwa Ajili ya Hatima Yao kwa Matendo Mema ya Kutosha
Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu
7. Waumini katika Mungu Wanapasa Kujiandaa kwa Ajili ya Hatima Yao kwa Matendo Mema ya Kutosha
Maneno Husika ya Mungu:
Huruma Zangu zinaonyeshwa kwa wale wanaonipenda Mimi na kujinyima wenyewe. Na adhabu inayoletwa kwa waovu ni thibitisho hasa la tabia Yangu ya haki na, zaidi sana, ushuhuda wa hasira Yangu. Msiba utakapokuja, njaa na baa litawakumba wale wote wanaopinga Mimi na watalia kwa uchungu. Wale wote ambao wametenda aina zote za uovu, lakini ambao wamenifuata kwa miaka mingi, hawataepuka kulipia dhambi zao; wao pia, wakijipata katika maafa, ambayo yameonekana kwa nadra katika mamilioni ya miaka, wataishi katika hali ya kila siku ya taharuki na woga.

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana
Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.
Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?
I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
9/17/2018
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!📝😇
Xiaowei Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kumliko yeye?”
Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” (Clip 5/7)
Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo
Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani.9/16/2018
Kumpenda Mungu ni Matamanio Yangu
Ⅰ
Niliishi katika ulimwengu usio na tumaini, bila kujua ukweli.
Nilisoma neno la Mwenyezi na sasa najua maana ya maisha.
Ni ajabu kuu iliyoje, Kristo analeta mwanga ulimwenguni.
Kutoka kwa hukumu Yake nimepata njia ya uzima wa milele.
Nalithamini neno la Mungu, nauthamini ukweli wa Mungu.
Ukweli ni wa thamani iliyoje! Kuoshwa katika kisima cha Mungu cha uzima.
"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)
Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?
Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
9/15/2018
“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Clip 4/5🎬🌻
“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Swahili Gospel Movie Clip 4/5
Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.
Sikiliza zaidi:Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki
Nyimbo za Kanisa | Nataka Kupenda Mungu Zaidi
Nyimbo za Kanisa | Nataka Kupenda Mungu Zaidi
Ⅰ
Upendo wa Mungu unayeyusha moyo wangu, na kusafisha dhana zangu zenye makosa.
Nauelewa moyo Wake, upendo Wake ulio na nguvu.
Kuanzia sasa, nisilalamike tena kamwe; upendo wote uliopotea sasa umerejeshwa.
Mungu hunipa fadhila nyingi katika upendo; nataka kumpa maisha yangu.
9/14/2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (4) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (1)
Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?
Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa
Kila siku Natembea juu ya ulimwengu, Nikiangalia kwa makini vitu vyote vilivyoumbwa kwa mkono Wangu. Juu ya mbingu ni mahali Pangu pa pumziko, na chini yake ni nchi ambayo Natembea. Natawala kila kitu miongoni mwa vyote vilivyoko, Naamuru kila kitu miongoni mwa vitu vyote, Nikisababisha vyote vilivyoko kufuata hali halisi ya maisha na kutii amri ya asili.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)