9/25/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa.
Alipata mwili kama mwanadamu, Akivumilia mvua na upepo,
kati ya watu Akijificha, hakuna aliyemjua Yeye.
Mungu alihukumu ili kunikoa, akaadhibu ili kunitakasa; nilipitia uchungu mwingi sana.
Nilikuja kumpenda Mungu kutoka moyoni mwangu, nikifurahia ukarimu wa Mungu na neema.

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili



πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡


Ingawa watu wanaomwamini Bwana wote wanajua kwamba Bwana Yesu ni Mungu aliyepata mwili, hata hivyo hakuna kweli anayeweza kuelewa ukweli wa kupata mwili. Imetabiriwa katika Biblia kwamba Bwana atakuja tena katika mwili kuzungumza na kufanya kazi katika siku za mwisho. Kama hatumjui Mungu mwenye mwili, basi hatuna namna ya kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana. Hivyo, kumjua Mungu mwenye mwili ni muhimu katika kukaribisha kurudi kwa Bwana. Tunapaswaje basi kumjua Mungu mwenye mwili?

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu

9/24/2018

Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?



πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili? 


Watu wengi katika kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana wanaweka umuhimu tu katika unabii ulio katika Maandiko kwamba Bwana atashuka kutoka mawinguni kuja tena huku wakipuuza unabii kwamba kuja kwa pili kwa Bwana ni kupitia kupata mwili. Wanatangaza kuwa ya uongo njia yoyote ambayo inashuhudia kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kama Mungu kuwa mwili. Je, ufahamu wao na kutenda kwao kunapatana na Maandiko? Kuhusu kurudi kwa Bwana kupitia kupata mwili, je, kumetabiriwaje hasa katika Maandiko?

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Nina Furaha Sana Kupata Upendo wa Mungu

Ukweli wa Mungu ni njia ya milele ya uzima. Sijapotea tena nikiwa na ukweli.
Singeweza kujiondolea uovu ulio ndani yangu. 
Hukumu ya Mungu ilinifanya niwe mpya.
Nitajitoa mwenyewe kwa majaribu ya Mungu, ili Mungu aweze kuupata moyo wangu.
Ananitengeneza kuwa yule ambaye nafaa kuwa. Nimeokolewa sasa na neno Lake.

9/23/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Sita

Sijui jinsi watu wanavyoendelea katika kuyafanya maneno Yangu kuwa msingi wa kuweko kwao. Nimehisi wasiwasi kila mara kwa ajili ya majaliwa ya mwanadamu, lakini watu hawaonekani kuwa na fahamu yoyote kuhusu hili—na kutokana na hilo, hawajawahi kuyatilia maanani mambo Yangu, na hawajawahi kukuza kuabudu kokote kwa ajili ya mtazamo Wangu kuhusiana na mwanadamu.

Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)


Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.
Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,
Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.
Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.
Si aina ya sherehe.
Si muujiza. Si ono kuu.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Saba

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Saba

Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake. Sijawahi kuwapa wanadamu sababu ya kuaibika, lakini mwanadamu hafikirii hisia Zangu kamwe.

9/22/2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God🎬



Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, kidogo kidogo,
siku baada ya siku,
unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu,
moyo wako utakuwa wazi Kwake.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita 

Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala kufanya mzaha, lakini ni kitu kisichotarajiwa kabisa: Mungu aliketi chini na Akazungumza na watu kwa utulivu. Kusudi Lake ni gani? Unaona nini Mungu anaposema, “Leo, Nimeanza kazi mpya juu ya ulimwengu.

9/21/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Mwanadamu hajawahi kamwe kujifunza chochote kutoka kwa neno la Mungu. Badala yake, mwanadamu huthamini tu umbo la nje la neno la Mungu, lakini kutojua maana yake halisi. Kwa hivyo, ingawa wengi wa watu wanapenda neno la Mungu, Mungu asema kwamba hawalithamini kwa kweli. Hili ni kwa sababu katika maoni ya Mungu, hata ingawa neno Lake ni kitu cha thamani, watu hawajaonja utamu wake halisi.

9/20/2018

Natamani Kuona Siku Ambayo Mungu Atapata Utukufu

Leo kwa sababu ya Mungu, pitia ugumu; kesho rithi baraka ya Mungu.
Kwa kusudi la kuona siku ambayo Mungu atapata utukufu,
Naweza kuacha ujana wangu na maisha yangu.
Ee! Upendo wa Mungu, unavutia moyo wangu.
Nahisi ugumu kumuacha Yeye. Nahisi ugumu kuwa mbali na Yeye.
Nitakunywa kikombe cha uchungu.

Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"



Kama mtoto, Yangwang aliwafuata wazazi wake katika imani yao kwa Bwana, na kama mtu mzima alihudumia Bwana kanisani. Mnamo 2013, kanisa lake lilijiunga na Baraza la Makanisa Ulimwenguni ambalo hutetea uunganishwaji wa kanisa kote ulimwenguni na wingi wa dini. Akisadiki kwamba kusisitiza kwa wachungaji na baraza la wazee wake katika kujiunga na Baraza kulikuwa kuondoka kwa njia ya Bwana na hakuwiani na moyo wa Bwana, hatimaye aliliacha dhehebu lake na kuanza kulitafuta kanisa lililo na kazi ya Roho Mtakatifu.

9/19/2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini



Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini


Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki.