10/05/2018

Msifuni Mwenyezi Mungu | Umo Moyoni Mwangu

Msifuni Mwenyezi Mungu  | Umo Moyoni Mwangu
I
Ninapotenda wajibu wangu mbali na nyumbani,
nawaza kukuhusu, na ninakuomba.
Kupitia kusoma maneno Yako,
nimekuja kukuamini zaidi na moyo wangu unapozwa, oo.
Kukushuhudia Wewe, ninapitia machungu mengi,
na najua hata vizuri zaidi jinsi Unavyopendeza.

10/04/2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.
Ikiwa siwezi kuiona siku ambayo ufalme unafanikishwa,
lakini naweza kumwaibisha Shetani leo, basi moyo wangu utajawa na furaha na amani.

10/03/2018

Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Kazi ya Mungu hufanywa na Mungu Mwenyewe.
Ni Yeye ndiye Anayeianzisha kazi Yake, na ni Yeye anayeikamilisha.
Ni Yeye anayeipanga kazi.
Ni yeye ndiye anayeisimamia, na zaidi kuifanikisha kazi hiyo.
Ni kama ilivyosemwa katika Biblia,
“Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho;

10/02/2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho"


🎵🎵🎵🎵🎵👏👏👏👏👏👏🌺🌺🌺🌺🌺🌺❤❤❤❤❤❤
I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu Yake sio Mwili wa Mungu.
II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli tazamia tabia, maneno na matendo Yake.

10/01/2018

Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa
Rongguang   Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Baada ya kumfuata Mwenyezi Mungu, niliwekwa katika jela kwa sababu mimi niliamini katika Mungu. Wakati huo nilikuwa muumini mpya na Mungu alikuwa amenipa nguvu ili niweze shikilia msimamo katika ushahidi wangu. Hata hivyo, niliamini kimakosa kuwa nilikuwa na kimo; nilidhani kwamba nilikuwa na kiasi kikubwa cha imani, upendo na uaminifu kwa Mungu, kwa hiyo sikuzingatia hasa kula na kunywa maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu. Ingawa nilisoma, nililinganisha neno ambalo kwalo Mungu humfichua mtu na watu wengine na kujitenga mwenyewe kutoka kwa maneno ya kuhukumu ya Mungu.

9/30/2018

"Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord


Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu.

9/29/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa

Inaonekana kwamba katika mawazo ya watu, Mungu ni wa fahari sana naye Haeleweki. Ni kana kwamba Mungu haishi miongoni mwa wanadamu, kana kwamba anawadharau watu kwa sababu Yeye ni wa fahari sana. Mungu, hata hivyo, Huziseta fikira za wanadamu na kuzifuta zote, Akizika fikira zao zote ndani ya "makaburi" ambamo zinageuka kuwa majivu. Mtazamo wa Mungu kwa fikira za wanadamu ni sawa na mtazamo Wake kwa wafu, Akiwafafanua apendavyo.

9/28/2018

Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma


🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌻🌻🌻🌻🌻🌻

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma

Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti? Huku ndiko hasa kukutana kwa hekima Yangu, ndiyo hasa yaliyo ya ajabu kuhusu matendo Yangu, na ni kanuni ambayo mpango Wangu mzima wa usimamizi mzima unafanywa" (Neno Laonekana katika Mwili).

9/27/2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?



Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu. Bwana Yesu alitabiri kwamba Angekuja tena katika siku za mwisho, Akisema: "Kwa kuwa kama vile umeme, umulikavyo toka upande mmoja chini ya mbingu, na kumulika upande mwingine chini ya mbingu; ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake.

9/26/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nilifurahia karamu kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ushuhuda

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nilifurahia karamu kubwa

Xinwei    Mkoa wa Zhejiang
Juni 25 na 26 zilikuwa siku zisizohaulika. Eneo letu la Zhejiang lilipata tukio kubwa, viongozi wengi na wafanyakazi wa eneo wakiwa wamekamatwa na joka kubwa jekundu. Ni wachache wetu tu tuliokimbia bila kuumia na, mioyo yetu ikiwa imejaa shukrani, tulikula kiapo cha siri kwa Mungu: kushirikiana vizuri na kazi iliyokuwa ifuate. Kufuatia hilo tulianza kazi yenye msisimko na shughuli nyingi ya kushughulika na matokeo.

Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?



"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?

Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na kupinga. Hili hakika ni la kushangaza! Hivyo kwa nini Mafarisayo wa dunia ya kidini wanamshutumu na kumpinga Mungu? Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu.

9/25/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa.
Alipata mwili kama mwanadamu, Akivumilia mvua na upepo,
kati ya watu Akijificha, hakuna aliyemjua Yeye.
Mungu alihukumu ili kunikoa, akaadhibu ili kunitakasa; nilipitia uchungu mwingi sana.
Nilikuja kumpenda Mungu kutoka moyoni mwangu, nikifurahia ukarimu wa Mungu na neema.

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili



🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻😇😇😇😇😇😇😇😇


Ingawa watu wanaomwamini Bwana wote wanajua kwamba Bwana Yesu ni Mungu aliyepata mwili, hata hivyo hakuna kweli anayeweza kuelewa ukweli wa kupata mwili. Imetabiriwa katika Biblia kwamba Bwana atakuja tena katika mwili kuzungumza na kufanya kazi katika siku za mwisho. Kama hatumjui Mungu mwenye mwili, basi hatuna namna ya kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana. Hivyo, kumjua Mungu mwenye mwili ni muhimu katika kukaribisha kurudi kwa Bwana. Tunapaswaje basi kumjua Mungu mwenye mwili?

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu