5/08/2019

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu


Wakati Bwana Yesu alipoonekana na kufanya kazi, wakuhani wa Kiyahudi, waandishi, na Mafarisayo walikashifu, wakashutumu, na kumkufuru vikali Bwana Yesu. Walimsulubisha Bwana Yesu msalabani, na wakawazuia watu kumkubali Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Mungu amekuwa  mwili tena. Amejionyesha na anaifanya kazi. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini wanaipinga na kuishutumu vikali tena kazi ya Mungu ya siku za mwisho, wakiwazuia waumini kwa vyovyote vile dhidi ya kumkubali Mwenyezi Mungu.

5/07/2019

“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” | Video za Kikristo (Movie Clip 4/5)



“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena! | Filamu za Injili (Movie Clip 4/5)


Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Bwana Yesu amerudi kufanya kazi na kuongea. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini vilevile wanaitumia Biblia kuishutumu kazi ya Mungu, na vilevile kumshutumu Mungu kama mtu wa kawaida. Wanafanya kila wawezalo kuwakatiza waumini kuikubali njia ya ukweli. Inashangaza kwamba, historia hujirudia.

        Tufuate: App ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

5/06/2019

Tunaweza Kunyakuliwa Hadi Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (3) - Tunaweza Kunyakuliwa Hadi Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu?

Kwa msingi wa maneno ya Bwana Yesu akiwa msalabani "Imekwisha," wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini kwa kawaida huhitimisha kwamba kazi ya Mungu ya wokovu wa wanadamu ilikuwa basi imekamilika. Bwana aliporudi, waumini wangepokelewa kwenye ufalme wa mbinguni, bila ya haja ya kazi yoyote ya utakaso na uokoaji wa watu. Je, mtazamo huu wa wachungaji na wazee wa kanisa unalingana na maneno ya Mungu? Bwana Yesu alikuwa akirejelea nini hatimaye, Aliposema "Imekwisha" akiwa msalabani? Kwa nini Mungu atake kuuonyesha ukweli wakati wa siku za mwisho, akiifanya kazi ya kuhukumu na kuwatakasa watu? Hasa Ni watu aina gani wanaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni?

Masomo yanayohusiana: Neno la Mwenyezi Mungu

5/05/2019

Video za Kikristo | “Kaa Mbali na Shughuli Zangu” (Clip 2/5)


Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu | Video za Kikristo (Movie Clip 2/5)


         Kwenye Biblia, Paulo alisema, “Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine” (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana. Baadhi ya waumini hivyo basi huikosa fursa ya kumkaribisha Bwana, kwa sababu wamedanganywa.

5/04/2019

Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (1) - Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?


Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki. Kupitia kwa muungano wa "kuilinda njia ya Bwana, kuwaweka kondoo salama, na kuwajibikia maisha ya waumini," wanawazuia waumini kwa kila mbinu dhidi ya kuichunguza njia ya kweli.

5/03/2019

"Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi? 


Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba Bwana Yesu tayari amerudi, tunawezaje kuwa na uhakika wa hili?

Kuhusu Sisi: Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

5/02/2019

"Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?


Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha" (Mathayo 25:6). Hivyo unabii huu mbalimbali wa kurudi kwa Bwana unatimizwa vipi? Na tunafaa kuwa vipi wanawali wenye hekima ambao wanakaribisha kurudi kwa Bwana?

Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Maneno la Mwenyezi Mungu

5/01/2019

"Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? 

Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno. Hawatafuti nje ya Biblia matamko Yake katika kurudi Kwake. Je, wataweza kukaribisha kurudi kwa Bwana kama wataendelea kushikilia wazo hili? Je, Mungu angeweza kuzuiliwa tu kwa kuongea maneno yaliyo ndani ya Biblia? Biblia inasema: "Na pia kuna mambo mengine mengi ambayo Yesu alifanya, ambayo, yote yakiandikwa, ninafikiri kwamba hata dunia yenyewe haingetosha vitabu hivyo ambavyo vitaandikwa" (Yohana 21:25). Mungu anasema: "Yote yaliyoandikwa katika Biblia ni machache na hayawezi kuwakilisha kazi yote ya Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili).

Soma Zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu

4/30/2019

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (4) - Je, Kusamehewa kwa Dhambi Zetu Ndiko Kweli Tiketi kuelekea Ufalme wa Mbinguni?

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (4) - Je, Kusamehewa kwa Dhambi Zetu Ndiko Kweli Tiketi kuelekea Ufalme wa Mbinguni?


Watu wengi katika dini wanafikiria kuwa wamezikiri dhambi zao na kuzitubu baada ya kumsadiki Bwana, hivyo wamekombolewa, na wameokolewa kwa neema. Wakati Bwana atakapokuja, atawainua moja kwa moja hadi kwenye ufalme wa mbinguni, na haiwezekani Yeye kufanya kazi ya utakaso na wokovu. Je, mtazamo huu unalingana na uhalisi wa kazi ya Mungu? Inasemekana kwenye Biblia: "Utakatifu, bila huu hakuna mwanadamu atakayemwona Bwana" (Waebrania 12:14).

4/29/2019

“Sauti Nzuri Ajabu” – Hukumu ya Mungu ya Siku za Mwisho Ni Wokovu kwa Mwanadamu (Clip 5/7)

Filamu za Injili | “Sauti Nzuri Ajabu” Movie Clip: Hukumu ya Mungu ya Siku za Mwisho Ni Wokovu kwa Mwanadamu

   
        Baadhi ya watu husoma maneno ya Mungu na kuona kwamba kunayo mambo makali ambayo ni hukumu ya wanadamu, na shutuma na laana. Wanafikiria kwamba kama Mungu huhukumu na kulaani watu, nao pia hawatashutumiwa na kuadhibiwa? Inawezaje kusemekana kwamba aina hii ya hukumu ni ya kutakasa na kuokoa wanadamu? Maneno ya Mungu yanasema: "Kile ambacho Mungu hulaani ni uasi wa mwanadamu, na kile Anachohukumu ni dhambi za mwanadamu."

4/28/2019

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"


Utambulisho


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

4/27/2019

Sauti ya Mungu | Sura ya 22

Kumwamini Mungu si jambo rahisi kufanya. Ninyi mnajiboronga, mkiteketeza kila kitu mbele yenu mkifikiri kuwa haya yote ni ya kuvutia sana, matamu mno! Kuna baadhi ambao bado wanashangilia—wao tu hawana utambuzi katika roho zao. Ni vyema kuchukua muda wa kuuweka katika muhtasari uzoefu huu. Katika siku za mwisho, kila aina za pepo huibuka kutekeleza majukumu yao, wakikaidi kwa uwazi hatua za mbele za wana wa Mungu na kushiriki katika kuuvunja ujenzi wa kanisa.

4/26/2019

Kusonga kwa Kazi ya Mungu Ulimwenguni

Watu duniani watakubali kushindwa na Mungu, watiifu kama malaika walivyo,bila kutaka kupinga ama kuasi; hii ni kazi ya Mungu katika ulimwengu mzima.
I
Mungu amekuwa na mwanadamu kwa miaka, hakuna ambaye amekuwa na ufahamu,
hakuna yule ambaye amemjua Yeye; sasa maneno ya Mugu yanawaambia Yeye yuko hapa.