5/25/2019

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa Makanisa | Sura ya 16

Baada ya ushuhudiaji wa Mwana wa Adamu, Mwenyezi Mungu alijifichua kwetu hadharani kama Jua la haki. Haya ndiyo mabadiliko mlimani! Sasa inakuwa halisi zaidi na zaidi, na zaidi kuwa jambo la uhalisi. Tumeona utaratibu wa kazi ya Roho Mtakatifu, Mungu Mwenyewe ameibuka kutoka kwa mwili wa damu. Yeye hayuko chini ya udhibiti wa mwanadamu, wala anga, wala jiografia; Yeye huvuka mipaka ya nchi na bahari, Yeye hufika miisho halisi ya ulimwengu, na mataifa yote na watu wa jumuia zote wanasikiliza sauti Yake kwa utulivu.

5/24/2019

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa Makanisa | Sura ya 8

Kwa kuwa Mwenyezi Mungu—Mfalme wa ufalme—ameshuhudiwa, mawanda ya usimamizi wa Mungu yamejitokeza kabisa katika ulimwengu wote. Sio tu kwamba kuonekana kwa Mungu kumeshuhudiwa nchini China, lakini jina la Mwenyezi Mungu limeshuhudiwa katika mataifa yote na nchi zote. Wote wanaliita jina hili takatifu, wakitafuta kufanya ushirika na Mungu kwa njia yoyote iwezekanayo, wakiyafumbata mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuhudumu kwa uratibu katika kanisa. Roho Mtakatifu hufanya kazi kwa njia hii ya ajabu.

5/23/2019

Umeme wa Mashariki | “Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 2/5

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (2) | Swahili Gospel Movie Clip 2/5


Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa kujitolea, kutumia rasilmali na kufanya kazi kwa ajili ya Bwana, tutayaridhisha mapenzi ya Mungu. Na tutaletwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Hata hivyo, je, tumewahi kufikiria iwapo jitihada kama hizi kweli zitastahili sifa za Bwana na ruhusa ya kuingia katika ufalme wa mbinguni? Kama sivyo, tunapaswa kufuatilia kupata sifa ya Bwana na kuletwa katika ufalme wa mbinguni vipi?

5/22/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 1/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (1) | Swahili Gospel Movie Clip 1/5


        Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa kujitolea, kutumia rasilmali na kufanya kazi kwa ajili ya Bwana, tutayaridhisha mapenzi ya Mungu. Na tutaletwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Hata hivyo, je, tumewahi kufikiria iwapo jitihada kama hizi kweli zitastahili sifa za Bwana na ruhusa ya kuingia katika ufalme wa mbinguni? Kama sivyo, tunapaswa kufuatilia kupata sifa ya Bwana na kuletwa katika ufalme wa mbinguni vipi?

Mwenyezi Mungu anasema, “  Kazi inapozungumziwa, mwanadamu anaamini kwamba kazi ni kusafiri kwenda huku na huko kwa ajili ya Mungu, akihubiri kila sehemu, na kugharimia rasilmali kwa ajili ya Mungu.

5/21/2019

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)


2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)


Ulimwengu ni mkubwa sana na usio na kikomo, na una nyota nyingi mno zisizohesabika katika mzunguko sahihi…. Unatamani kujua aliyeziumba sayari za juu za ulimwengu, na yule ambaye huamuru tao la mtupo angani? Dondoo ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo ya Mungu Kuutawala Ulimwengu itakuonyesha nguvu yenye uwezo ya Muumba.

Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Sikiliza zaidi: 2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)

5/20/2019

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa. Hasa, baada ya mzee huyo kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, polisi walikuja karibu kila siku kumtisha, kumuogofya na kumsumbua. Hakukuwa na njia ya Zheng Xinming kusoma neno la Mungu nyumbani kwa kawaida, na hata familia yake ilishiriki hali yake ya wasiwasi.

5/19/2019

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"


Mwenyezi Mungu anasema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi. Kadiri watu wanavyoujua uhalisi zaidi, kadiri wanavyoweza kugundua ikiwa maneno ya wengine ni halisi;

5/18/2019

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?


       Mwenyezi Mungu anasema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake. Alitumia sheria hizi kuweza kudhibiti kizazi kipya cha binadamu kilichozaliwa, kuweka msingi wa kazi Yake ambayo ingefuata. Na kwa hivyo, sababu ya kazi ambayo Yehova Alifanya, enzi ya kwanza iliitwa Enzi ya Sheria."

      Yaliyopendekezwa: Kumjua Kazi ya Mungu.  Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

5/17/2019

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk)


       
       Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia. 

Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

5/16/2019

Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi)



Yu Shunfu ni muumini katika ulimwengu wa dini ambaye huenzi na huabudu wachungaji na wazee wa kanisa. Yeye hufikiri "wachungaji na wazee wa kanisa wote walikuzwa na Mungu, na kutii wachungaji na wazee wa kanisa ni kutii Mungu, "kwa hivyo yeye humsikiza mchungaji wake katika yote anayofanya, hata katika mambo ya kukaribisha kuja kwake Bwana.
Lakini kupitia kwa mjadala mzuri sana, Yu Shunfu amekuja kuona kuwa kuzingatia dhana za dini ni upuzi na upumbavu, na mwishowe anagundua kuwa kumtukuza Mungu huja kwanza katika imani, na kwamba lazima yeyote asetiri "hekalu" la moyo kwa ajili ya Mungu. 

5/15/2019

Neno la Mungu | Sura ya 59

Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa. Kanisa sasa linaingia utendaji rasmi na mambo yote yanaingia kwenye alama sahihi. Mambo hayako yalivyokuwa wakati mlipokuwa na limbuko la mambo yajayo. Lazima msiwe wa kuchanganyikiwa au kuwa bila utambuzi.

5/14/2019

Maneno ya Mungu | Sura ya 56

 Mwenyezi Mungu anasema, "Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake. Fahamu hili! Huu ndio mwanzo wa hukumu Yangu na hakutakuwa na huruma itakayoonyeshwa kwa yeyote na hakuna atakayesamehewa kwani Mimi ni Mungu asiye na hisia ambaye hutenda haki; ingekuwa vyema kwenu kutambua hili.

5/13/2019

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?

Waumini wengine huamini kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wamechaguliwa na kuteuliwa na Bwana, na kwamba wote ni watu wanaomtumikia Bwana. Hivyo wanaamini kwamba kuwatii tu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumtii Bwana, na kwamba kuwaasi au kuwahukumu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumpinga Bwana. Wao huamini hata kuwa, katika makanisa, wachungaji na wazee wa kanisa peke ndio huelewa Biblia na huweza kuelezea Biblia, na almradi kile kinachohubiriwa au kufanywa na wachungaji na wazee wa kanisa kinakubaliana na Biblia na kina msingi katika Biblia, basi watu wanapaswa kuwatii na kuwafuata.