6/07/2019

“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Clip 1


“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Filamu za Injili  (Movie Clip 1/7)


      Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?

     Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Yesu mara ya pili

6/06/2019

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God


"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwako! Ukiendelea kumwamini Mungu, utaishia kufa!" Wakiwa na fimbo za umeme mikononi, polisi wa Kikomunisti wa China wanamvamia kijana huyu ambaye amejawa na mavilio ya damu.

      Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.

6/05/2019

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?


Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

       Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu. Hii ilifanya mateso na kudhoofika kwa kukosa kutwaliwa na Mungu na kuanguka katika giza iwe ya ukweli zaidi kwake. ]

6/04/2019

neno la Mungu | Sura ya 71

 Mwenyezi Mungu anasema, “Mimi wote Nimejiweka dhahiri kwenu, lakini kwa nini mnashindwa kutafakari maneno Yangu kwa mioyo na nafsi zenu zote? Kwa nini mnachukua maneno Yangu kama takataka? Je,yote Ninayosema ni makosefu? Je, maneno Yangu yamekupiga katika sehemu ya uzima? Daima kuchelewesha, daima kusita, kwa nini mnafanya mambo hivi? Je, Mimi sijaongea wazi? Nimesema mara nyingi sana kwamba maneno Yangu lazima yatafakariwe kwa makini, na lazima yazingatiwe kwa makini.

6/03/2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 69

Mapenzi Yangu yatokapo, yeyote anayethubutu kupinga na yeyote anayethubutu kuhukumu au kuwa na shaka, mara moja Nitamfukuza. Leo, yeyote ambaye hatendi kulingana na mapenzi Yangu, au yeyote anayeyafikiria mapenzi Yangu visivyo, ni lazima atupwe nje na kuondolewa kutoka kwa ufalme Wangu. Katika ufalme Wangu hakuna mtu mwingine—wote ni wana Wangu wa kiume, wale ambao Nawapenda na hunifikiria Mimi.

6/02/2019

Maneno ya Mungu | Sura ya 63

Mwenyezi Munguanasema, " Zielewe hali zako mwenyewe, na zaidi ya hayo, kuwa wazi kuhusu njia unayohitaji kutembea; usubiri tena Mimi niyainue masikio yako na kukuonyesha mambo. Mimi ni Mungu ninayekagua moyo wa ndani kabisa wa mwanadamu nami najua kila fikra na wazo lako, hata zaidi Naelewa matendo na tabia yako. Lakini matendo yako na tabia yana ahadi Yangu? Je, yana mapenzi Yangu? Umetafuta haya kwa kweli? Je, kweli umetumia wakati wowote kuhusu suala hili?Je, kweli umefanya jitihada yoyote? Mimi sikukosoi.

6/01/2019

Sauti ya Mungu | Sura ya 65


Sauti ya Mungu | Sura ya 65

 Maneno Yangu daima yanaendeleza barabara, yaani yanaonyesha udhaifu wenu wa jaala, vinginevyo bado mgekuwa mnakokota visigino vyenyu, bila wazo la muda gani ulioko sasa. Fahamu hili! Mimi Hutumia njia ya upendo ili kuwaokoa. Bila kujali jinsi nyinyi mlivyo, bila shaka Nitakamilisha mambo ambayo Nimekubali bila kufanya kosa lolote. Je, Ninaweza, Mwenyezi Mungu Mwenye haki, kufanya kosa? Je, hiyo siyo dhana ya mtu? Niambieni, kila kitu Mimi Hufanya na kusema si kwa ajili yenu?

5/31/2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Wimbo wa Kuabudu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

I
Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho. Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja, yote inalingana na kile ambacho binadamu wanahitaji, ama hasa inalingana na ujanja ambao Shetani anatumia, anapopigana na Yeye. Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani, kufunua hekima ya Mungu na ukuu, na kufichua ujanja wote wa Shetani, hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake, hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.

5/30/2019

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs



Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.
Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi ya Mungu ni wadanganyifu.
Wanaojifanya kuwa Kristo hatimaye wataanguka,
ingawaje wanadai kuwa Kristo,
hawana kiini chochote cha Kristo.

5/29/2019

“Wakati Wa Mabadiliko” – Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni | Clip 2/2


“Wakati Wa Mabadiliko” – Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni | Swahili Gospel Movie Clip 2/2


Watu wengine huamini, kwa kuwa Mungu aliweza kuumba mbingu na dunia na vitu vyote kwa neno moja, kuweza kuwafufua wafu kwa neno moja, Mungu pia Ataweza kubadili taswira zetu mara moja, kutufanya watakatifu, kutuinua hewani kukutana na Bwana wakati Atakaporudi katika siku za mwisho. Je, kweli ni ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni? Je, kazi ya kurudi kwa Mungu katika siku za mwisho rahisi hivyo jinsi tunavyofikiri? Mungu husema, "Lazima ufahamu wala usirahisishe mambo zaidi. Kazi ya Mungu ni tofauti na kazi nyingine ya kawaida. Uzuri wake hauwezi kutambuliwa na akili za mwanadamu wala hekima yake kupatikana vile.

5/28/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 5/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima | Swahili Gospel Movie Clip 5/5


Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu kwa kuonyesha ukweli. Utangulizi wa hukumu kabla ya ufalme mkuu mweupe kuanza. Tunapitia hukumu ya Mungu na kuadibiwa na Mungu vipi? Je, ni aina gani ya utakaso na mabadiliko yanaweza kupatikana baada ya kupitia hukumu na adabu ya Mungu? Ni maarifa gani ya kweli ya Mungu yanaweza kuarifiwa?

Mwenyezi Mungu anasema, “Leo, mazungumzo juu ya kufanywa mkamilifu ni hali moja tu. Haijalishi kinachofanyika, lazima muwe na hatua hii ya ushuhuda kwa kufaa.

5/27/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 4/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu? | Swahili Gospel Movie Clip 4/5


Baadhi ya watu huamini kwamba baada ya Bwana Yesu kufufuka na kupaa mbinguni, Roho Mtakatifu alishuka kufanya kazi kwa mtu katika siku ya Pentekoste. Yeye aliishutumu dunia ya dhambi, na ya haki, na ya hukumu. Tunapopokea kazi ya Roho Mtakatifu na kutubu kwa Bwana kwa ajili ya dhambi zetu, tunapitia hukumu ya Bwana. Kazi inayofanywa na Roho Mtakatifu katika siku ya Pentekoste inapaswa kuwa kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho. Je, tu sahihi katika njia tunayoipokea? Je, kuna tofauti gani kati ya kazi ya Bwana Yesu na kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho?

5/26/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa? | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini kwamba Bwana atakaporudi, tutainuliwa hewani kukutana na Bwana. Lakini katika Biblia, inasemekana kwamba Yerusalemu mpya itashuka kutoka mbinguni. "maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu," "falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake." Je, ufalme wa mbinguni uko angani au duniani? Bwana atawapelekaje watakatifu katika ufalme wa mbinguni atakaporudi?

Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Bwana Yesu