Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mungu-na-Kazi-ya-Mtu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mungu-na-Kazi-ya-Mtu. Onyesha machapisho yote

10/20/2019

Mtu anayemwamini Mungu ni lazima aweze kutambua wachungaji wa uwongo na wapinga Kristo kuiacha dini na kurudi kwa Mungu

VIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Bwana Yehova alisema hivi kwa wachungaji; Ole wao wachungaji wa Israeli wajilishao! Wachungaji hawapaswi kuwalisha kondoo? Mnawala kondoo walio wanono, na kuvalia sufu zao, mnawaua wale ambao wamenona: lakini hamwalishi kondoo. Hamjawapa nguvu wagonjwa, wala hamjawaponya waliougua, wala hamjawafunga waliovunjika, wala hamjawarudisha wale waliofukuzwa, wala hamjawatafuta wale waliopotea; lakini mmewatawala kwa nguvu na ukatili” (Ezekieli 34:2-4).
Kuweni macho dhidi ya manabii wa uongo, ambao wanawajia wakiwa wamevalia nguo za kondoo, lakini kwa ndani wao ni mbwa mwitu wakali” (Mathayo 7:15).

10/19/2019

Mtu lazima atambue tofauti kati ya Kristo mwenye mwili na Makristo wa uongo na manabii wa uongo

VIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu

3. Mtu lazima atambue tofauti kati ya Kristo mwenye mwili na Makristo wa uongo na manabii wa uongo

Aya za Biblia za Kurejelea:
Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).
Huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi? Maneno ninenayo kwenu sineni juu yangu, ila Baba aishiye ndani yangu, anazifanya kazi hizo” (Yohana 14:10).
Mimi na yeye Baba yangu tu mmoja” (Yohana 10:30).
Kwa kuwa wataibuka makristo wasio wa kweli, na manabii wasio wa kweli, nao wataonyesha ishara kubwa na vioja; ili kwamba, ikiwezekana, watawadanganya walio wateule zaidi” (Mathayo 24:24).

10/18/2019

Kuna tofauti ipi kati ya kazi ya wale wanaotumiwa na Mungu na kazi ya viongozi wa kidini?

VIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu

2. Kuna tofauti ipi kati ya kazi ya wale wanaotumiwa na Mungu na kazi ya viongozi wa kidini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Naye akasema … Mtumishi wangu Musa hayuko hivyo, ambaye ni mwaminifu nyumbani mwangu mwote” (Hesabu 12:6-7).
“Na Yesu akajibu na kumwambia, … Na pia nakuambia, Kwamba wewe ni Petro, na nitalijenga kanisa langu juu ya mwamba huu; na milango ya jahanamu haitashinda dhidi ya kanisa hilo. Na nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni: na chochote utakachofunga duniani kitafungwa mbinguni: na chochote utakachoweka huru duniani kitawekwa huru mbinguni” (Mathayo 16:17-19).
Ole wao wachungaji wa Israeli wajilishao! Wachungaji hawapaswi kuwalisha kondoo? Mnawala kondoo walio wanono, na kuvalia sufu zao, mnawaua wale ambao wamenona: lakini hamwalishi kondoo. Hamjawapa nguvu wagonjwa, wala hamjawaponya waliougua, wala hamjawafunga waliovunjika, wala hamjawarudisha wale waliofukuzwa, wala hamjawatafuta wale waliopotea; lakini mmewatawala kwa nguvu na ukatili.

10/17/2019

Kuna tofauti ipi muhimu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu?

VIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu

1. Kuna tofauti ipi muhimu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya Mungu Mwenyewe inahusisha kazi ya wanadamu wote, na pia inawakilisha kazi ya enzi nzima. Hii ni kusema kwamba, kazi ya Mungu mwenyewe inawakilisha harakati na mwelekeo wa kazi yote ya Roho Mtakatifu, ilhali kazi ya mitume inafuata kazi ya Mungu na wala haiongozi enzi, na wala haiwakilishi mwelekeo wa kufanya kazi wa Roho Mtakatifu katika enzi nzima. Huwa wanafanya tu kazi ambayo mwanadamu anapaswa kufanya, ambayo haihusishi kabisa kazi ya usimamizi. Kazi ya Mungu ni mradi ndani ya kazi ya usimamizi. Kazi ya mwanadamu ni wajibu tu wa wanadamu kuweza kutumika na wala haina uhusiano na kazi ya usimamizi. Kwa sababu ya utambulisho na uwakilishaji tofauti wa kazi hii, licha ya ukweli kwamba zote ni kazi za Roho Mtakatifu, kuna tofauti za wazi na bainifu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu.
kutoka katika “Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu” katika Neno Laonekana katika Mwili

10/10/2019

Kuna tofauti ipi muhimu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu?

VIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu

1. Kuna tofauti ipi muhimu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya Mungu Mwenyewe inahusisha kazi ya wanadamu wote, na pia inawakilisha kazi ya enzi nzima. Hii ni kusema kwamba, kazi ya Mungu mwenyewe inawakilisha harakati na mwelekeo wa kazi yote ya Roho Mtakatifu, ilhali kazi ya mitume inafuata kazi ya Mungu na wala haiongozi enzi, na wala haiwakilishi mwelekeo wa kufanya kazi wa Roho Mtakatifu katika enzi nzima. Huwa wanafanya tu kazi ambayo mwanadamu anapaswa kufanya, ambayo haihusishi kabisa kazi ya usimamizi. Kazi ya Mungu ni mradi ndani ya kazi ya usimamizi.