4/05/2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi🎼🎬


Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …
🎼🎼@@@@@🎻🎻@@@@@🌺🌺@@@@@@πŸŽ‰πŸŽ‰@@@@@@🎬🎬
    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake.

4/04/2018

Umeme wa Mashariki | DibajiπŸ””⭐

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Umeme wa Mashariki | Dibaji

~~~~~~~~~~       πŸŽ€πŸŽ€            ~~~~~~~~~~~         πŸŽ€πŸŽ€           ~~~~~~~~~~~
 πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ**************     πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ     **************     πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ          
    Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake. Huyu Mungu, Ambaye yuko kando yako, Akiongoza mwelekeo wa kuendelea kwako, Akiamuru hatima yako, na kukupa mahitaji yako—ni kiasi gani ambacho, katika uchambuzi wako, unaelewa nani kiasi gani ambacho kweli unajua kumhusu Yeye?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (7)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (7)

     Mwenyezi Mungu alisema, Imemchukua mwanadamu mpaka siku hii kutambua kwamba kile mtu anachokosa si tu kuruzukiwa maisha ya kiroho na uzoefu wa kumjua Mungu, lakini, muhimu zaidi, mabadiliko katika tabia yake. Kutokana na ujinga kamili wa mwanadamu wa historia na utamaduni wa kale wa wanadamu, hana ujuzi wa kazi ya Mungu hata kidogo. Mwanadamu hutumaini kuwa ndani kabisa ya moyo, mwanadamu anaweza kumpenda Mungu sana, lakini kwa sababu ya upotovu mkubwa mno wa mwili wa mwanadamu, pamoja na kutojali na upumbavu, mwanadamu ameshushwa kuwa asiye na ufahamu wa Mungu hata kidogo.

4/03/2018

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na matamshi ya Mungu ya miaka michache iliyopita yote yamerekodiwa kimsingi katika kitabu, Neno Laonekana katika Mwili. Baadhi ya maneno katika kitabu hiki ni ya kinabii na yanatabiri vile enzi za baadaye zitakavyokuwa. Unabii kwa kweli ni mfumo wa jumla, na zaidi ya nusu ya kitabu kinajadili kuingia kwa mwanadamu kwa maisha, kinaweka wazi utu, na kinazungumzia kuhusu kumwelewa Mungu na tabia Yake. Na kuhusu enzi gani, enzi ngapi na ufalme wa aina gani mwanadamu ataingia baadaye, je, hakuna mipango makini, hakuna marejeleo maalum na zaidi hakuna vipindi vya muda? Yaani, enzi za baadaye hazikuhusu. Sasa hivi sio wakati na tuko mbali sana nayo.

B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.


 Neno la Mwenyezi Mungu  | B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.

    (Mwa 18:26) Kisha BWANA akasema, Nikipata katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, basi Nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
    (Mwa 18:29) Na akazungumza tena naye, akasema, Huenda wakapatikana humo arobaini. Akasema, Sitafanya hivyo.
    (Mwa 18:30) Akamwambia, labda watapatikana huko thelathini. Naye akasema, Sitafanya hivyo.
    (Mwa 18:31) Kisha akasema, huenda wakaonekana huko ishirini. Naye akasema, Sitauharibu.
    (Mwa 18:32) Naye akasema, huenda wakaonekana huko kumi. Naye akasema, Sitauharibu.
    Hizi ni dondoo chache Nilizochagua kutoka kwenye Biblia. Dondoo hizi si kamilifu, za matoleo ya awali. Kama mngependa kuziona hizo, mnaweza kuzitafuta kwenye Biblia nyinyi wenyewe; ili kuokoa muda, Nimeiacha sehemu ya maudhui asilia. Hapa Nimechagua tu vifungu na sentensi mbalimbali kuu, huku nikiziacha sentensi mbalimbali ambazo hazina umuhimu katika ushirika wetu wa leo.

4/02/2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, MakasiπŸ‘πŸ˜…


Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1):  Jiwe, Karatasi, Makasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
🌸🌸🌸🌸               πŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈ             πŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈ             πŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈπŸŒΈ
 ********                       ********                      ********
Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘~~~~~<><>~~~~~😊😊😊😊~~~~~<><>~~~~~πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu.

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Maombi

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala

     Mwenyezi Mungu alisema, Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli. Watu humwomba Mungu tu wakati kitu kinawatendekea. Katika wakati huu wote, umewahi kweli kumwomba Mungu? Je, umewahi kutoa machozi ya uchungu mbele ya Mungu? Je, umewahi kujijua mwenyewe mbele ya Mungu? Je, umewahi kumwomba Mungu maombi ya kutoka?

4/01/2018

Sura ya 39. Tofauti Kati Ya Mabadiliko Ya Nje Na Mabadiliko Katika Tabia

Mwenyezi Mungu alisema, Ni nini mnafahamu kuhusu mabadiliko katika tabia? Asili ya mabadiliko katika tabia na mabadiliko katika mwenendo ni tofauti, na mabadiliko katika matendo pia ni tofauti—yote ni tofauti kwa asili. Watu wengi wanaweka mkazo maalum kwa tabia yao katika imani yao kwa Mungu, matokeo yakiwa mabadiliko yanayofanyika katika mienendo yao. Baada ya kuamini katika Mungu, wanakoma kubishana na wengine, wanakoma kupigana na watu na kuwatukana, wanakoma kuvuta sigara na kunywa, hawaibi mali ya uma—hata iwe msumari ama kipande cha mbao pekee—na hata wanaenda kiasi cha kutoipeleka kotini wanapopata hasara ama wamekosewa.

3/31/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)πŸ“–πŸ˜‡


 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)

~~~~~~~~~~~~~       πŸ€²πŸ€²       ~~~~~~~~~~~~~        πŸ“–πŸ“–       ~~~~~~~~~~~~
 *******************                          *******************
     Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo imara zaidi, ya kweli zaidi. Hii ni kwa sababu hii ndiyo njia ambayo Mungu alitufungulia tangu mwanzo wa wakati na imepitishwa kwa kizazi chetu baada ya makumi ya maelfu ya miaka. Kwa hiyo tunarithi watangulizi wetu ambao hawakutembea njia hii mpaka mwisho wake; sisi ndio tumechaguliwa na Mungu kutembea sehemu ya mwisho ya njia hii. Hivyo, imetayarishiwa hasa sisi, na haijalishi ikiwa tutapokea baraka au kupata taabu, hakuna mwingine anayeweza kutembea njia hii. Naongeza utambuzi Wangu kwa hili: Usifanye mipango ya kutorokea mahali pengine au kupata njia nyingine, ukitamani hadhi, au kuanzisha ufalme wako mwenyewe;

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IπŸ“–πŸŽ‰


Katika Mamlaka ya Muumba, Viumbe Vyote ni Timilifu

πŸŽ‰~~~~~~~~*~~~~~~~~🀲***************πŸ‘‚~~~~~~~~~*~~~~~~~~πŸ””    

^^^^^      ~~~~~~      ^^^^^       ~~~~~~       ^^^^^^      ~~~~~~    ^^^^^

    Mwenyezi Mungu alisema, Viumbe vyote vilivyoumbwa na Mungu, vikiwemo vile vilivyoweza kusonga na vile visingeweza kusonga, kama vile ndege na samaki, kama vile miti na maua, na hata ikiwemo mifugo, wadudu na wanyama wa mwituni, wote walioumbwa kwenye siku ya sita—wote walikuwa wazuri mbele ya Mungu, na, vilevile, machoni mwa Mungu, viumbe hivi, kulingana na mpango Wake, vilikuwa vimetimiza kilele cha utimilifu, navyo vilikuwa vimefikia viwango ambavyo Mungu alitaka kutimiza.

3/30/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 12

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 12

    Mwenyezi Mungu alisema,Watu wote wanapotilia maanani, wakati vitu vyote vinafanywa upya na kuhuishwa, wakati kila mtu anamtii Mungu bila shaka, na yuko tayari kubeba jukumu zito la mzigo wa Mungu—hapa ndipo wakati umeme wa mashariki unatoka, ukiangaza yote kutoka Mashariki hadi Magharibi, ukiyatisha yote ya ulimwengu na ujaji wa mwanga huu; na wakati huu, Mungu tena huanza maisha Yake mapya. Ambayo ni kusema, wakati huu Mungu huanza kazi mpya duniani, akitangaza kwa watu wa ulimwengu wote kwamba “Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangaziwa, na nyota zote zinaanza kubadilika."

Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa

Matamshi ya Mungu | Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa 

🀲🀲~~~~~~~~~~~πŸ‘πŸ‘πŸ‘~~~~~~~~~~πŸ‘πŸ‘~~~~~~~~~~😊😊😊

Mwenyezi Mungu alisema, Ndani ya mwanadamu mara nyingi zipo baadhi ya hali mbaya. Miongoni mwao ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kuwaathiri watu au kuwadhibiti. Kunazo baadhi ya hali ambazo zinaweza hata kumfanya mtu kuiacha njia ya kweli na kuelekea katika njia mbovu. Kile mwanadamu anachokitafuta, kile wanachozingatia na njia wanayochagua kuifuata—haya yote yanahusiana na hali zao za ndani. Hata zaidi ni udhaifu wa mwanadamu au nguvu inayohuhusiana moja kwa moja na hali zao za ndani. Kwa mfano, watu wengi sasa hutilia mkazo hasa kwa siku ya Mungu; wote wana hamu nayo, wakiionea shauku siku ya Mungu ifike haraka ili waweze kujinasua kutoka kwenye mateso haya, magonjwa haya, mateso haya na zaidi.

3/29/2018

26. Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili✍️πŸ““

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo

Umeme wa Mashariki | Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼***************πŸ™‚πŸ™‚**************⭐⭐⭐

Qin Shuting Jijini Linyi, Mkoani Shandong
      Kwa muda fulani, ingawa sikuwa nimeacha kula na kunywa manen0 ya Mungu, sikuhisi mwanga kamwe. Nilikuwa nimeomba kwa Mungu kwa ajili ya hili lakini, baadaye, bado sikuwa nimepata nuru. Hivyo niliwaza, “Nimekula na kunywa kile ambacho nilipaswa na Mungu hanipi nuru. Hakuna kile ninachoweza kufanya, na sina uwezo wa kupokea maneno ya Mungu. Kuna wakati wa Mungu kumpa kila mwanadamu nuru, kwa hivyo hakuna maana ya kuiharakisha.” Baadaye, nilishika amri na kula na kunywa maneno ya Mungu bila wasiwasi, nikingoja kwa “subira” kutoa nuru kwa Mungu.