Mwenyezi Mungu alisema, Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa? Ni nani ambaye hajapata kupitia katika siku na miezi ya ajabu katika ufalme? Ni nani hajaishi chini ya jua? Ingawa ufalme umeshuka miongoni mwa mwanadamu, hakuna ambaye amepata kupitia ukunjufu wake; mwanadamu anautambua tu kutoka nje, bila kufahamu dutu lake. Katika wakati ambao ufalme Wangu unatengenezwa, ni nani asiyefurahi kwa sababu yake? Je, nchi katika dunia zinaweza kuutoroka kweli? Je, joka kubwa jekundu linaweza kutoroka kwa msaada wa ujanja wake? Amri Zangu za utawala zinatangazwa katika ulimwengu wote, zinaasisi mamlaka Yangu miongoni mwa watu wote, na zinatumika katika ulimwengu wote;
"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu. kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
4/06/2018
Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi. Hatua hii ya kazi haiwezi kufanywa kwa njia yoyote ya zamani: Inapaswa kukamilika juu ya msingi wa hatua mbili zilizopita za kazi. Hatua ya pili ya kazi iliyokamilishwa wakati wa Enzi ya Neema ilimpa mwanadamu ukombozi. Hii ilifanywa na Mungu mwenye mwili. Sio kwamba Roho hangeweza kufanya hatua ya sasa ya kazi, Roho pia alikuwa na uwezo, lakini hangekuwa mwenye kufaa sana, mwenye uwezo wa kumwokoa mwanadamu, kama vile kupata mwili.
4/05/2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 23. Ufahamu wa Kuokolewa
📒📒^^~~~^^📄📄^^~~~^^👏👏^^~~~^^💪💪^^~~~^^🙂🙂
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 23. Ufahamu wa Kuokolewa
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi katika kanisa ambayo nimeaminiwa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na Mungu. Niliamini pia kuwa nilikuwa nikitembea katika njia ya wokovu na Mungu, na yote niliyokuwa niyafanye ni kumfuata Yeye mpaka mwisho.
Lakini siku chache zilizopita, niliona maandishi fulani kutoka kwa mahubiri ya mtu “Ni Wale Tu Ambao Wanapata Ukweli na Kuingia Katika Uhalisi ndio Wanaookolewa Kweli": "Kuokolewa na Mungu si rahisi kama watu wanavyofikiria.
12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu👏🌞
😊********************🌹*********************🌹********************😊
Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu. Baadaye, nyumba yetu ilishika moto, na wakati wa moto huu tulipokea ulinzi wa Mungu wa ajabu. Mungu kwa hakika ni mwenyezi!Siku moja mwezi wa Machi ya mwaka wa 2006, baada ya chakula cha mchana takriban saa saba adhuhuri, kulikuwa kukinya theluji sana nje.
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi🎼🎬
Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …
🎼🎼@@@@@🎻🎻@@@@@🌺🌺@@@@@@🎉🎉@@@@@@🎬🎬
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake.
4/04/2018
Umeme wa Mashariki | Dibaji🔔⭐
Umeme wa Mashariki | Dibaji
~~~~~~~~~~ 🎀🎀 ~~~~~~~~~~~ 🎀🎀 ~~~~~~~~~~~
🌺🌺🌺************** 🌺🌺🌺 ************** 🌺🌺🌺
Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake. Huyu Mungu, Ambaye yuko kando yako, Akiongoza mwelekeo wa kuendelea kwako, Akiamuru hatima yako, na kukupa mahitaji yako—ni kiasi gani ambacho, katika uchambuzi wako, unaelewa nani kiasi gani ambacho kweli unajua kumhusu Yeye?
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (7)
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (7)
Mwenyezi Mungu alisema, Imemchukua mwanadamu mpaka siku hii kutambua kwamba kile mtu anachokosa si tu kuruzukiwa maisha ya kiroho na uzoefu wa kumjua Mungu, lakini, muhimu zaidi, mabadiliko katika tabia yake. Kutokana na ujinga kamili wa mwanadamu wa historia na utamaduni wa kale wa wanadamu, hana ujuzi wa kazi ya Mungu hata kidogo. Mwanadamu hutumaini kuwa ndani kabisa ya moyo, mwanadamu anaweza kumpenda Mungu sana, lakini kwa sababu ya upotovu mkubwa mno wa mwili wa mwanadamu, pamoja na kutojali na upumbavu, mwanadamu ameshushwa kuwa asiye na ufahamu wa Mungu hata kidogo.
4/03/2018
Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na matamshi ya Mungu ya miaka michache iliyopita yote yamerekodiwa kimsingi katika kitabu, Neno Laonekana katika Mwili. Baadhi ya maneno katika kitabu hiki ni ya kinabii na yanatabiri vile enzi za baadaye zitakavyokuwa. Unabii kwa kweli ni mfumo wa jumla, na zaidi ya nusu ya kitabu kinajadili kuingia kwa mwanadamu kwa maisha, kinaweka wazi utu, na kinazungumzia kuhusu kumwelewa Mungu na tabia Yake. Na kuhusu enzi gani, enzi ngapi na ufalme wa aina gani mwanadamu ataingia baadaye, je, hakuna mipango makini, hakuna marejeleo maalum na zaidi hakuna vipindi vya muda? Yaani, enzi za baadaye hazikuhusu. Sasa hivi sio wakati na tuko mbali sana nayo.
B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.
Neno la Mwenyezi Mungu | B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.
(Mwa 18:26) Kisha BWANA akasema, Nikipata katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, basi Nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
(Mwa 18:29) Na akazungumza tena naye, akasema, Huenda wakapatikana humo arobaini. Akasema, Sitafanya hivyo.
(Mwa 18:30) Akamwambia, labda watapatikana huko thelathini. Naye akasema, Sitafanya hivyo.
(Mwa 18:31) Kisha akasema, huenda wakaonekana huko ishirini. Naye akasema, Sitauharibu.
(Mwa 18:32) Naye akasema, huenda wakaonekana huko kumi. Naye akasema, Sitauharibu.
Hizi ni dondoo chache Nilizochagua kutoka kwenye Biblia. Dondoo hizi si kamilifu, za matoleo ya awali. Kama mngependa kuziona hizo, mnaweza kuzitafuta kwenye Biblia nyinyi wenyewe; ili kuokoa muda, Nimeiacha sehemu ya maudhui asilia. Hapa Nimechagua tu vifungu na sentensi mbalimbali kuu, huku nikiziacha sentensi mbalimbali ambazo hazina umuhimu katika ushirika wetu wa leo.
4/02/2018
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi👏😅
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
🌸🌸🌸🌸 🌸🌸🌸🌸 🌸🌸🌸🌸 🌸🌸🌸🌸
******** ******** ********
Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?
👏👏👏👏~~~~~<><>~~~~~😊😊😊😊~~~~~<><>~~~~~🤗🤗🤗🤗
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu.
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala
Mwenyezi Mungu alisema, Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli. Watu humwomba Mungu tu wakati kitu kinawatendekea. Katika wakati huu wote, umewahi kweli kumwomba Mungu? Je, umewahi kutoa machozi ya uchungu mbele ya Mungu? Je, umewahi kujijua mwenyewe mbele ya Mungu? Je, umewahi kumwomba Mungu maombi ya kutoka?4/01/2018
Sura ya 39. Tofauti Kati Ya Mabadiliko Ya Nje Na Mabadiliko Katika Tabia
Mwenyezi Mungu alisema, Ni nini mnafahamu kuhusu mabadiliko katika tabia? Asili ya mabadiliko katika tabia na mabadiliko katika mwenendo ni tofauti, na mabadiliko katika matendo pia ni tofauti—yote ni tofauti kwa asili. Watu wengi wanaweka mkazo maalum kwa tabia yao katika imani yao kwa Mungu, matokeo yakiwa mabadiliko yanayofanyika katika mienendo yao. Baada ya kuamini katika Mungu, wanakoma kubishana na wengine, wanakoma kupigana na watu na kuwatukana, wanakoma kuvuta sigara na kunywa, hawaibi mali ya uma—hata iwe msumari ama kipande cha mbao pekee—na hata wanaenda kiasi cha kutoipeleka kotini wanapopata hasara ama wamekosewa.
3/31/2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)📖😇
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)
~~~~~~~~~~~~~ 🤲🤲 ~~~~~~~~~~~~~ 📖📖 ~~~~~~~~~~~~
******************* *******************
Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo imara zaidi, ya kweli zaidi. Hii ni kwa sababu hii ndiyo njia ambayo Mungu alitufungulia tangu mwanzo wa wakati na imepitishwa kwa kizazi chetu baada ya makumi ya maelfu ya miaka. Kwa hiyo tunarithi watangulizi wetu ambao hawakutembea njia hii mpaka mwisho wake; sisi ndio tumechaguliwa na Mungu kutembea sehemu ya mwisho ya njia hii. Hivyo, imetayarishiwa hasa sisi, na haijalishi ikiwa tutapokea baraka au kupata taabu, hakuna mwingine anayeweza kutembea njia hii. Naongeza utambuzi Wangu kwa hili: Usifanye mipango ya kutorokea mahali pengine au kupata njia nyingine, ukitamani hadhi, au kuanzisha ufalme wako mwenyewe;
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)