Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tabia-ya-Haki-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tabia-ya-Haki-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

5/23/2018

Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ushuhuda
Zhuanbian     Mji wa Shanghai
Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa kike waliokuwepo na kusikiliza mahubiri, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili, "Nyinyi sasa mnamwamini Mungu na mmeonja uzuri wa ukimbizaji wa ukweli.

3/20/2018

πŸ–Ό️πŸ“–πŸ€²πŸ‘Umeme wa Mashariki | Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ushuhuda

Umeme wa Mashariki | Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?

    πŸ‘€πŸ‘€~~~~~~~~~~~πŸ’“***************πŸ’“~~~~~~~~~~~πŸ‘‚πŸ‘‚
πŸ‘‰πŸ‘‰➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨πŸ‘‡πŸ‘‡
    Kama tumekabiliwa na maafa yasiyotarajiwa, maarifa yetu yote, ujuzi, na uwezo havina maana yoyote … yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, kutokuwa na uhakika, mshtuko, hofu, sisi huhisi udhaifu wa maisha…. Na hatuwezi kujizuia kujiuliza: Ni nani huidhibiti jaala yetu? Ni nani wokovu wetu wa pekee?

Utambulisho7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu

Li Jing, Beijing
7 Agosti, mwaka wa 2012
Siku hiyo, ilianza kunyesha asubuhi. Nilikwenda kwa mkutano nyumbani mwa ndugu mmoja, wakati mvua ilipoendelea kuongezeka zaidi na zaidi kwa uzito.Kufikia alasiri ilikuwa ikinyesha kana kwamba ilitoka mbinguni moja kwa moja. Wakati tulipomaliza mkutano wetu, mvua ilikuwa imeingia katika ua wa ndugu yangu, lakini kwa sababu nilikuwa na wasiwasi juu ya familia yangu, nilijitahidi kwenda nyumbani. Nusu ya barabara huko, baadhi ya watu waliokimbia hatari waliniambia, “Je, si wewe unatoroka, bado unakwenda nyumbani?” Nilipofika nyumbani, mtoto wangu aliniuliza, “Je, mafuriko hayakukuzoa?” Ni hapo tu nilipojua kwamba sikuwa na Mungu moyoni mwangu.

3/12/2018

πŸ“–πŸ“–Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Tabia ya Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia. Ni tumaini Langu kwamba utaweza kutazamia suala hili kwa dhati; kwa vyovyote vile hufai kulishughulikia shingo-upande! Sasa, je, kujua mamlaka ya Mungu ni sawa na kujua Mungu kwa uzima wake? Mtu anaweza kusema kwamba kujua mamlaka ya Mungu ndiyo mwanzo wa kumjua Mungu mwenyewe kwa upekee wake, na mtu anaweza kusema pia kwamba kuyajua mamlaka ya Mungu kunamaanisha kwamba mtu tayari ameingia kwenye lango kuu la kujua hali halisi ya ule upekee wa Mungu Mwenyewe.

3/03/2018

7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
Li Jing, Beijing
7 Agosti, mwaka wa 2012
Siku hiyo, ilianza kunyesha asubuhi. Nilikwenda kwa mkutano nyumbani mwa ndugu mmoja, wakati mvua ilipoendelea kuongezeka zaidi na zaidi kwa uzito. Kufikia alasiri ilikuwa ikinyesha kana kwamba ilitoka mbinguni moja kwa moja. Wakati tulipomaliza mkutano wetu, mvua ilikuwa imeingia katika ua wa ndugu yangu, lakini kwa sababu nilikuwa na wasiwasi juu ya familia yangu, nilijitahidi kwenda nyumbani. Nusu ya barabara huko, baadhi ya watu waliokimbia hatari waliniambia, "Je, si wewe unatoroka, bado unakwenda nyumbani?" Nilipofika nyumbani, mtoto wangu aliniuliza, "Je, mafuriko hayakukuzoa?" Ni hapo tu nilipojua kwamba sikuwa na Mungu moyoni mwangu.

3/01/2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

(I) Mhutasari juu ya Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia na kuuelewa ukweli. Ikiwa moyo wako hauwezi kutulizwa, ikiwa moyo wako siku zote unayoyoma, au siku zote unafikiria juu ya mambo mengine, utaathiri kuja kwako pamoja kusikia neno la Mungu. Sasa, ni kitu gani cha msingi tunachokijadili wakati huu? Hebu sote turudi nyuma kidogo katika hoja kuu. Kuhusiana na kumjua Mungu Mwenyewe, yule wa kipekee, sehemu ya kwanza tuliyoijadili ni ipi? (Mamlaka ya Mungu.) Ya pili ilikuwa ni ipi? (Tabia ya haki ya Mungu.) Na ya tatu? (Utakatifu wa Mungu.)