12/22/2017

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Uzoefu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Biblia
kukamilishwa na Mungu,ndugu na dada

                                      Umeme wa Mashariki | Kuhusu Uzoefu

Mwenyezi Mungu alisema, Katika uzoefu mzima wa Petro, alikuwa amevumilia mamia ya majaribio. Ijapokuwa watu sasa wanajua neno “jaribio” hawaelewi kabisa maana yake halisi au hali. Mungu huichovya uamuzi wa mwanadamu, husafisha ujasiri wake, na hufanya kila sehemu yake kuwa kamili, kufikia hili hasa kwa njia ya majaribio. Majaribio pia ni kazi ya siri ya Roho Mtakatifu. Inaonekana kwamba Mungu amemtelekeza mwanadamu, na hivyo mwanadamu, kama si makini, atayaona kama majaribu ya Shetani. Kwa kweli, majaribu mengi yanaweza kuchukuliwa kama majaribu, na hii ndiyo kanuni na amri ya kazi ya Mungu. Ikiwa mtu huishi kwa kweli mbele ya Mungu, atayaona kama majaribio ya Mungu na asiyaache yapite.

12/21/2017

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

neno la Mungu,siku za mwisho,
    Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu. Ni muhimu kwamba utendaji uwekwe katika nuru iliyopo na maneno ya Mungu. Mungu hafuati masharti, na Anaweza kuzungumza kutoka kwa mitazamo mingi tofauti ili kufanya wazi hekima Yake na uwezo.

12/20/2017

Umeme wa Mashariki | Je, Umekuwa Hai Tena?

Umeme wa Mashariki | Je, Umekuwa Hai Tena? 
Umeme wa Mashariki | Je, Umekuwa Hai Tena?
Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kutimiza kuishi kulingana na ubinadamu wa kawaida, na umefanywa mkamilifu, ingawa utakuwa huwezi kunena unabii, wala siri zozote, utakuwa unaishi kulingana na kufichua taswira ya mwanadamu. Mungu alimuumba mwanadamu, baada ya hapo mwanadamu akaharibiwa na Shetani, na uharibifu huu umewafanya watu wawe maiti—na hivyo, baada ya kuwa umebadilika, utakuwa tofauti na maiti hizi. Ni maneno ya Mungu ndiyo yanatoa uzima kwa roho za watu na kuwasababisha kuzaliwa upya, na roho za watu zinapozaliwa upya, watakuwa hai tena. Neno "wafu" linarejelea maiti ambazo hazina roho, kwa watu ambao roho zao zimekufa. Roho za watu zinapowekewa uhai, wanakuwa hai tena.

12/19/2017

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Tafuta Ufalme wa Mungu Kwanza,imani katika Mungu

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi kubwa miongoni mwa binadamu, na maneno ambayo Nimeeleza wakati huu yamekuwa mengi. Maneno haya ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, na yalikuwa yanaeleza ili binadamu aweze kulingana na Mimi. Ilhali Nimewapokea watu wachache tu duniani ambao wanalingana na Mimi, na hivyo Nimesema kwamba binadamu hathamini maneno Yangu, kwa kuwa binadamu halingani na Mimi. Kwa njia hii, kazi amabayo Naifanya sio tu kwa ajili ya mwanadamu aweze kuniabudu; muhimu zaidi, ni kwa ajili ya mwanadamu aweze kulingana na Mimi. Watu, ambao wamepotoshwa, wote huishi katika mtego wa Shetani, wao kuishi katika mwili, kuishi katika tamaa za ubinafsi, na hakuna hata mmoja kati yao anayelingana na Mimi.

12/18/2017

Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya


 Upendo wa Kweli wa Mungu

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema 
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha 
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

12/17/2017

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya ubinadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo yote husika na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na namna alivyo mwenye uweza na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani. Kwa kadri aina hii ya kuadibu na kuhukumu inapozidi, ndivyo moyo wa binadamu unavyoweza kujeruhiwa zaidi na ndivyo roho yake inavyoweza kuzinduliwa zaidi.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
Kanisa la Mwenyezi Mungu,Wakristo wa China, 

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu

   Kama muumini wa Mungu, hufai kuwa watiifu kwa yeyote mwingine isipokuwa Yeye katika mambo yote na mjilinganishe na moyo Wake katika mambo yote. Hata hivyo, ingawa wote huelewa mafundisho haya, ukweli huu wa kimsingi ulio wazi kabisa kwa binadamu hauwezi kuonekana kuwa kujumuishwa kwao kikamilifu, kutokana na ugumu wao, kama vile hali yao ya kutojua, upuzi, au ufisadi. Kwa hivyo, kabla ya kuuamua mwisho wenu, Ninafaa kuwaambia kwanza baadhi ya mambo, ambayo ni yenye umuhimu mkubwa sana kwenu.

12/16/2017

Umeme wa Mashariki | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,imani
Umeme wa Mashariki | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?

Umeme wa Mashariki | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?


Mwenyezi Mungu alisema,Kila siku unayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yako na majaliwa yako, kwa hivyo unapaswa kufurahia kila ulicho nacho na kila dakika inayopita. Unapaswa kutumia muda wako vizuri ili uweze kujinufaisha, ili usije kuishi maisha haya bure. Pengine unajihisi kukanganyikiwa unaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu. Kwa maana matumaini ambayo Nimekuwa nayo juu yako si vile tu ulivyo sasa. Kwa hivyo, Naweza kuelezea hivi: Nyinyi nyote mko hatarini kabisa. Vilio vyako vya kwanza kwa ajili ya wokovu na matamanio yako ya kwanza ya kufuatilia ukweli na kutafuta nuru vinakaribia mwisho.

12/15/2017

Wale Ambao Tabia Yao Imebadilika Ndio Wanaoingia Katika Uhalisi wa Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,maombi
Ushindi,Ukamilifu,Vitendo

Wale Ambao Tabia Yao Imebadilika Ndio Wanaoingia Katika Uhalisi wa Ukweli

    Mwenyezi Mungu alisema, Njia ambayo Roho Mtakatifu huchukua ndani ya watu ni kuvuta kwanza mioyo yao kutoka kwa watu, matukio, na vitu vyote, na kuingiza ndani ya maneno ya Mungu ili ndani ya mioyo yao wote waamini kwamba maneno ya Mungu hayana shaka kabisa na ni kweli kabisa. Kwa vile unaamini katika Mungu lazima uamini katika maneno Yake; ikiwa umeamini katika Mungu kwa miaka mingi lakini hujui njia ambayo Roho Mtakatifu hufuata, wewe kweli ni muumini? Ili kutimiza maisha ya mtu wa kawaida na maisha yanayofaa ya mtu na Mungu, lazima kwanza uamini maneno Yake. Ikiwa hujakamilisha hatua ya kwanza ya kazi ambayo Roho Mtakatifu hufanya ndani ya watu, huna msingi.

12/14/2017

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Ufalme

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Injili,

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Ufalme

Watu wanishangilia Mimi, watu wananisifu Mimi; midomo yote inataja Mungu mmoja wa kweli, watu wote wainua macho yao kutazama matendo Yangu. Ufalme washuka duniani, nafsi Yangu ni tajiri na yenye wingi. Ni nani hangesherehekea haya? Nani hangecheza kwa furaha kwa ajili ya haya? Ee, Sayuni! Inua bango lako la ushindi ili kunisherehekea Mimi! Imba wimbo wako wa ushindi na ueneze jina Langu takatifu! Vitu vyote duniani! Sasa mjitakase kwa kujitolea Kwangu. Nyota angani! Sasa rudini sehemu zenu na muonyeshe ukuu Wangu mbinguni!

12/13/2017

Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu


Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu
    Mwenyezi Mungu alisema, Tangu unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutekeleza wajibu wako. Unachukua jukumu lako katika mpango wa Mungu na katika utaratibu wa Mungu. Unaanza safari ya maisha. Licha ya asili yako na licha ya safari iliyoko mbele yako, hakuna kitakachoepuka mpango na utaratibu ambao mbingu imeweka, na hakuna aliye na udhibiti wa hatima yake, kwa maana Anayetawala juu ya kila kitu ndiye tu Aliye na uwezo wa kazi hiyo. Tangu siku aliyoumbwa binadamu, Mungu amekuwa thabiti katika kazi Yake, kusimamia ulimwengu huu na kuelekeza mabadiliko na harakati ya mambo yote. Kama kila kiumbe, mwanadamu bila kujua anapata lishe ya utamu na mvua na umande kutoka kwa Mungu.

12/12/2017

Matamshi ya Mwenyezi Mungu - Unajua Nini Kuhusu Imani?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Yesu
imani katika Mung,watu wa Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu - Unajua Nini Kuhusu Imani?


Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua. Ingawa hajui imani ni nini wala ni kwa nini anayo imani ndani Yangu, anaendelea kufanya hivyo kwa shauku mno. Kile Ninachomwomba binadamu, si tu yeye kuniita Mimi kwa shauku kwa njia hii au kuniamini Mimi kwa mtindo huu wa kukosa mwelekeo.

12/11/2017

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili
sifu Mungu,Kurudi kwa Yesu mara ya pili

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

    Mwenyezi Mungu alisema, Enzi ya zama ishaenda, na enzi mpya imefika. Mwaka baada ya mwaka na siku baada ya siku, Mungu amefanya kazi nyingi. Alikuja duniani, kisha Akaondoka. Mzunguko kama huu umeendelea kwa vizazi vingi. Siku ya leo, Mungu anaendelea kama mbeleni kufanya kazi Anayopaswa kufanya, kazi ambayo bado Hajaikamilisha, kwani hadi leo, bado Hajaingia mapumzikoni. Kutoka wakati wa uumbaji hadi leo, Mungu amefanya kazi nyingi, lakini ulijua kwamba kazi anayoifanya Mungu leo ni nyingi kuliko awali na kipimo ni kikubwa zaidi? Hii ndiyo maana Nasema Mungu amefanya jambo kubwa miongoni mwa wanadamu. Kazi zote za Mungu ni muhimu sana, iwe kwa mwanadamu ama Mungu, kwani kila kitu cha kazi Yake kina uhusiano na mwanadamu.