5/19/2018

Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno La Mungu Kuhusu “Fumbo La Kupata Mwili”

1. Katika Enzi ya Neema, Yohana alimwandalia Yesu njia. Hangeweza kufanya kazi ya Mungu Mwenyewe ila alitimiza tu kazi ya mwanadamu. Ingawa Yohana alikuwa mtangulizi wa Bwana; hangeweza kumwakilisha Mungu; alikuwa tu binadamu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu. Kufuatia ubatizo wa Yesu, "Roho Mtakatifu alimshukia Yeye kwa mfano wa njiwa." Kisha Akaanza kazi Yake, hivyo, Alianza kufanya huduma ya Kristo. Hiyo ndiyo maana Alichukua utambulisho wa Mungu, kwa sababu Alitoka Kwa Mungu. Haijalishi jinsi imani Yake ilivyokuwa kabla ya hii—labda wakati mwingine ilikuwa dhaifu, au wakati mwingine ilikuwa na nguvu—hayo ndiyo yalikuwa maisha Yake ya kawaida ya binadamu kabla Afanye huduma Yake.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne

    Mwenyezi Mungu alisema, Ili kuwazuia watu wote kutiwa kiburi na kujisahau baada ya mabadiliko yao kutoka kwa ubaya hadi kwa uzuri, katika fungu la maneno la mwisho la matamshi ya Mungu, mara tu Mungu akishazungumza kuhusu matakwa yake ya juu zaidi kwa watu Wake—mara tu Mungu akishawaambia watu kuhusu mapenzi Yake katika hatua hii ya mpango wa usimamizi Wake—Mungu huwapa nafasi ya kuyatafakari maneno Yake, kuwasaidia kufanya uamuzi wa kuridhisha mapenzi ya Mungu mwishowe. Wakati ambapo hali za watu ni nzuri, Mungu huanza mara moja kuwauliza watu maswali kuhusu upande mwingine wa suala.

5/18/2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (6)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (6)

Mwenyezi Mungu alisema, Leo, watu wengi hawana hata urazini au kujitambua kwa Paulo, ambaye, ingawa aliangushwa na Bwana Yesu, tayari alikuwa na azimio la kufanya kazi na kuteseka kwa ajili Yake. Yesu alimpa ugonjwa, na baadaye, Paulo aliendelea kuvumilia ugonjwa huu mara alipoanza kufanya kazi. Kwa nini alisema alikuwa na mwiba mwilini mwake? Mwiba, kwa kweli, ulikuwa ugonjwa, na kwa Paulo, ulikuwa ugonjwa wa kufisha. Haijalishi alivyofanya kazi vizuri au jinsi azimio lake kuteseka lilivyokuwa kuu, alikuwa na ugonjwa huu kila mara. Paulo alikuwa mwenye uhodari thabiti zaidi kuliko ninyi watu wa leo;

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Utendaji (5)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Utendaji (5)

Wakati wa Enzi ya Neema, Yesu alizungumza maneno kiasi na Akatekeleza hatua moja ya kazi. Kulikuwa na muktadha kwayo, na yalikuwa ya kufaa kwa hali za watu kwa wakati huo; Yesu alinena na kufanya kazi kama ilivyostahili muktadha wa wakati huo. Pia Alinena unabii kiasi. Alitabiri kwamba Roho wa ukweli angekuja wakati wa siku za mwisho, wakati ambapo Roho wa ukweli angetekeleza hatua ya kazi. Ambalo ni kusema, nje ya kazi ambayo Yeye Mwenyewe alikuwa Afanye wakati wa enzi hiyo, Hakuwa dhahiri kuhusu lingine lolote; yaani, kulikuwa na mipaka kwa kazi iliyoletwa na Mungu mwenye mwili. Hivyo, Alifanya tu kazi ya enzi hiyo, na hakufanya kazi nyingine ambayo haikuwa na uhusiano na Yeye.

5/17/2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"



Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma
Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,
Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.
Mwenyezi Mungu yuko uso kwa uso nasi.
Mungu uliyekuwa na kiu naye, Mungu niliyemngoja, leo anaonekana kwetu kwa utendaji.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 8

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa Roho, sauti Yake huelekezwa kwa wanadamu wote. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa mwanadamu, sauti Yake huelekezwa kwa wote wafuatao uongozi wa Roho Wake. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa nafsi ya tatu (kile ambacho watu hutaja kama mtazamaji), Anaonyesha neno Lake moja kwa moja kwa watu ili watu wamwone kama mtoa maoni, na huonekana kwamba kutoka kinywani Mwake hutoka mambo yasiyo na kikomo ambayo mwanadamu hayajui, mambo ambayo mwanadamu hawezi kuelewa. 

5/16/2018

Upendo wa Kweli wa Mungu kwa Wanadamu

Mwenyezi Mungu alisema, Katika kukifahamu kiini cha Kristo, kipengele kimoja ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya kupata mwili Kwake na binadamu; aidha, watu ambao wanafahamu kiini cha Kristo wana uwezo zaidi kuwa hakika kuhusu Mungu kuwa mwili na uwezo zaidi wa kuamini kuwa Yeye kweli Yupo, kuwa Yeye si nabii, mtume, wala mwenye kufunua, na hasa si mtu mdogo aliyetumwa hapa na Mungu; bali Yeye ni mwenye mwili, Yeye ni Kristo, Naye ni Mungu Mwenyewe. Hata kama mwili ulikuwa sehemu miongoni mwa watu, Alikuwa mtu wa kawaida na kiini cha Uungu. Kiini cha Kristo kinaeleweka kwa njia ya kuelewa tabia ya Mungu, kupitia kazi Yake, na kwa njia ya kula na kunywa maneno Yake.

Umeme wa Mashariki | Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Umeme wa Mashariki | Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Mwenyezi Mungu alisema, Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu? Kama si kwa ufunuo wa mapenzi Yangu, je, mngejitolea kuutimiza moyo Wangu? Hakuna ambaye amewahi kuufahamu moyo Wangu, na hakuna ambaye amewahi kutambua mapenzi Yangu.

5/15/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

Mwenyezi Mungu alisema, Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anatazamia kwa hamu kumtii Mungu na kumheshimu Yeye, wataweza kukamilishwa na Yeye. Mungu huwakamilisha watu kulingana na kazi zao tofauti. Mradi tu umefanya yote kwa nguvu yako na kuitii kazi ya Mungu utakuwa na uwezo wa kukamilishwa na Yeye. Kwa sasa hakuna hata mmoja wenu aliye mkamilifu. Wakati mwingine mnaweza kutekeleza aina moja ya kazi na wakati mwingine mnaweza kutekeleza mbili; mradi tu mnampa Mungu nguvu zenu zote na kujitoa kwa ajili Yake, hatimaye mtafanywa wakamilifu na Mungu.

Umeme wa Mashariki | "Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu?


Siku za mwisho tayari zimefika, na waumini wengi wanatamani Bwana arudi na kuwachukua kwenda katika ufalme wa mbinguni. Lakini unajua Bwana atakavyoonekana kwetu Atakaporudi? Je, kweli itakuwa kama tunavyofikiria, kwamba Ataonekana wazi, moja kwa moja Akishuka juu ya wingu? Mwenyezi Mungu alisema, "Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu?… Yesu Atarejea kwa namna gani? Mnaamini kuwa Yesu Atarudi juu ya wingu jeupe, lakini Nawauliza: wingu hili jeupe linaashiria nini? Na kwa kuwa wafuasi wengi wa Yesu wanangoja kurejea Kwake, Atashuka miongoni mwa watu wapi?" "Mtakapoona Yesu Akishuka kutoka juu mbinguni juu ya wingu jeupe kwa macho yenu wenyewe, huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. …

5/14/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili. Baada ya kukubali kuaminiwa, nilihisi uwajibikaji kamili, kupata nuru kamili, na hata nikafikiri kwamba nilikuwa na uamuzi kiasi fulani. Niliamini kuwa nilikuwa na uwezo na ningeweza kutekeleza kazi hii vizuri. Kwa kweli, wakati huo sikuwa na maarifa kabisa ya kazi ya Roho Mtakatifu au ya asili yangu mwenyewe. Nilikuwa naishi kabisa katika kujiridhisha na kujitamani.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu

Kwa kweli, hawajasikitika, na wamekuwa wakitazama kile ambacho kimefanywa kwa miaka elfu sita iliyopita mpaka leo, kwa kuwa Sikuwaacha. Badala yake, kwa sababu mababu zao walikula tunda kutoka kwa mti wa ujuzi wa mema na maovu lililotolewa na yule mwovu, waliniacha kwa ajili ya dhambi. Mema ni Yangu, wakati maovu ni ya yule mwovu ambaye hunihadaa kwa ajili ya dhambi. Mimi Siwalaumu mwanadamu, wala Siwaangamizi kwa ukatili au kuwatolea kuadibu kusiko na huruma, kwani uovu haukuwa wa wanadamu kiasili.

5/13/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 19

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Kumi na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Ni shughuli sahihi ya mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha. Lakini, mbali na kuridhishwa na mambo yalivyo, Naendelea kutoa matakwa kwa binadamu. Napenda sifa za mwanadamu, lakini Nachukia wizi wake.