9/18/2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.
Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?

I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu. 
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.

9/17/2018

Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!πŸ“πŸ˜‡

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Xiaowei    Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kumliko yeye?”

Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” (Clip 5/7)



Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo

      Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani.

9/16/2018

Kumpenda Mungu ni Matamanio Yangu

Niliishi katika ulimwengu usio na tumaini, bila kujua ukweli.
Nilisoma neno la Mwenyezi na sasa najua maana ya maisha.
Ni ajabu kuu iliyoje, Kristo analeta mwanga ulimwenguni.
Kutoka kwa hukumu Yake nimepata njia ya uzima wa milele.
Nalithamini neno la Mungu, nauthamini ukweli wa Mungu.
Ukweli ni wa thamani iliyoje! Kuoshwa katika kisima cha Mungu cha uzima.

"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

9/15/2018

“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Clip 4/5🎬🌻


Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Swahili Gospel Movie Clip 4/5


Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.

Sikiliza zaidi:Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Nyimbo za Kanisa | Nataka Kupenda Mungu Zaidi

Nyimbo za Kanisa | Nataka Kupenda Mungu Zaidi

Upendo wa Mungu unayeyusha moyo wangu, na kusafisha dhana zangu zenye makosa.
Nauelewa moyo Wake, upendo Wake ulio na nguvu.
Kuanzia sasa, nisilalamike tena kamwe; upendo wote uliopotea sasa umerejeshwa.
Mungu hunipa fadhila nyingi katika upendo; nataka kumpa maisha yangu.

9/14/2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (4) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (1)


Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Kila siku Natembea juu ya ulimwengu, Nikiangalia kwa makini vitu vyote vilivyoumbwa kwa mkono Wangu. Juu ya mbingu ni mahali Pangu pa pumziko, na chini yake ni nchi ambayo Natembea. Natawala kila kitu miongoni mwa vyote vilivyoko, Naamuru kila kitu miongoni mwa vitu vyote, Nikisababisha vyote vilivyoko kufuata hali halisi ya maisha na kutii amri ya asili.

9/13/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwa Imani ya Kesho

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwa Imani ya Kesho

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Matendo Yako ni ya ajabu.
Maneno Yako yanaonyesha uweza Wako, yakitushinda kabisa.
Mwenyezi Mungu mwenye haki! Mbele Yako twaja, kuona jinsi tulivyo wadeni.
Hatukufuata mapenzi Yako kamwe; mbele Yako tumejawa na aibu.
Lakini unatuonyesha kusudi la maisha.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara MbiliπŸ’“πŸŽ¬


Kupata mwili wa Mungu wa kwanza Alipigiliwa misumari msalabani, hivyo kuhitimisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, kupata mwili wa Mungu wa pili anaonyesha ukweli na Anafanya kazi Yake ya hukumu na kuadibu, Akiwaokoa wanadambu kabisa kutoka kwa miliki ya Shetani.

9/12/2018

Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

6. Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Maneno Husika ya Mungu:
Leo, watu wengi sana hawana ufahamu huo. Wao huamini kwamba mateso hayana thamani, wao hukanwa na ulimwengu, maisha yao ya nyumbani yamesumbuliwa, wao si wapendwa wa Mungu, na matazamio yao ni matupu. Kuteseka kwa watu wengine hufikia kiwango fulani, na fikira zao hugeukia kifo. Huu si upendo wa kweli kwa Mungu; watu kama hao ni waoga, hawana ustahamilivu, wao ni wadhaifu na wasio na nguvu!

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu



Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine. Alichukua mafunzo haya kwa moyo, na kujifinza kamwe kutowakosea wengine katika matendo na mazungumzo yake, na daima kutunza uhusiano wake na wengine, hivi kumpatia sifa ya "mtu mzuri" kwa wale wliokuwa karibu naye.