2/23/2019

Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu

I
Kupitia katika neno la Mungu wa utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea kile wanachohitaji.
Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadamu.
Kazi ya Mungu wa utendaji ina nia ya kumwokoa kila mmoja kutoka kwa ushawishi wa Shetani,
kuwaokoa wait kutoka kwa uchafu na tabia iliyopotoshwa na Shetani.

2/22/2019

Matamshi ya Mungu—Sura ya 86

Watu husema kuwa Mimi ni Mungu mwenye huruma na wao husema kwamba Nitaoa wokovu kwa kila kitu Nilichokiumba—mambo haya yote yanasemwa kulingana na fikira za binadamu. Kunitaja Mimi kama Mungu mwenye huruma kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na kuletea Kwangu wokovu kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na watu Wangu. Kwa sababu Mimi ni Mungu mwenye hekima, ni wazi katika mawazo Yangu ni nani Ninaowapenda na ni nani Ninaowachukia.

2/21/2019

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

2/20/2019

Wimbo Injili | Kutafuta Wandani

I
Umefanya kazi katika bustani kwa muda mrefu na Umepanda upendo Wako ndani sana.
Umelipa kila gharama, Ukitamani kuwapata watu ambao wana moyo mmoja na Wewe.
Umetafuta kwa muda mrefu—ni nani anayeweza kuelewa dhiki Yako?
Umewekeza upendo mwingi sana wa kweli, lakini ni vigumu Kwako kupata faraja katika maumivu Yako.

2/19/2019

Mateso ya Kidini | “Utamu katika Shida” - Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake | clip 6/6

“Utamu katika Shida” - Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake | clip 6/6

Katiba ya serikali ya Kikomunisti ya Kichina hutamka dhahiri juu ya uhuru wa dini na ibada, lakini kwa siri kuna ukandamizaji wa jeuri na mashambulizi kwa dini na ibada. Wafuasi wa Kristo wanasingiziwa kuwa wahalifu wakubwa wa kitaifa na mbinu za mapinduzi zinachukuliwa ili kuwakandamiza, kuwazuilia, kuwatesa na hata kuwaua kwa ukatili. Serikali ya kikomunisti ya Kichina hutumia Katiba ili kupata umaarufu kwa kuudanganya umma lakini ni siri gani hata hivyo ambazo huathiri mambo na ambazo kufichiwa umma? Kwa nini serikali ya Kikomunisti ya Kichina husisitiza kuwachukulia wafuasi wa Kristo kama maadui, kwa nini hawawezi kupatana na wafuasi wa Kristo?


2/18/2019

Ee Mungu, Moyo Wangu Tayari ni Wako

I
Ee Mungu, Maneno Yako yote ni ukweli. Ufunuo wa maneno Yako unaniwezesha kujiona vizuri zaidi.
Ingawa nilikuwa nikitangaza kwa sauti upendo wangu Kwako, nilijitolea Kwako, na kuacha vitu kwa ajili Yako, leo najua kwamba yote yalikuwa ili kupata baraka na taji.
Nahisi majuto sana moyoni mwangu, na ni jambo la kudharauliwa sana kufanya mikataba na Wewe.

2/17/2019

Nyimbo za Kanisa | Kufuatilia Ukweli ili Kujiokoa Mwenyewe

Ninathibitisha kwamba Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima.
Sitapumzika mpaka nimjue Mungu!
Kama siwezi kuvumilia mateso ninayopaswa kubeba, sitastahili kuitwa binadamu kamwe.
Kama siwezi kulipiza upendo wa Mungu nitahisi aibu mno kumwona Yeye.
I
Neno kuonekana katika mwili ni Mungu Mwenyewe.

2/16/2019

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" | The Means the CCP Uses to Capture Christians🎬👍

Filamu za Injili "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians


           Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili kuchunguza, kusimamia, na kupeleleza Wakristo.

2/15/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu—Sura ya 46

Matamshi ya Mwenyezi Mungu—Sura ya 46 

Yeyote anayejitumia na kujitolea kwa uaminifu kwa ajili Yangu, hakika Nitakukinga mpaka mwisho kabisa; mkono Wangu hakika utakushikilia ili kwamba daima una amani na mwenye furaha daima na kila siku una mwanga Wangu na ufunuo. Hakika Nitakupa baraka Zangu mara dufu, ili uwe na kile Nilicho nacho na umiliki kile Nilicho.

2/14/2019

Neno la Mungu | "Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu"


Mwenyezi Mungu anasema, "Katika imani yako kwa Mungu, utamjuaje Mungu? Unapaswa kumjua Mungu kupitia maneno na kazi ya leo ya Mungu, bila upotovu au uwongo, na hata kabla jambo lolote lile ni sharti uijue kazi ya Mungu. Huu ndio msingi wa kumjua Mungu. Huo uwongo wa aina mbalimbali unaokosa ukubalifu wa maneno ya Mungu ni dhana za kidini, ni ukubalifu ambao ni potovu na wenye makosa. Ujuzi mkubwa zaidi wa watu mashuhuri wa kidini ni kuyachukua maneno ya Mungu yaliyokuwa yakikubalika zamani na kuyalinganisha na maneno ya Mungu ya leo.

2/13/2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 42

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 42

Mwenyezi Mungu alisema, Jinsi gani matendo ya Mwenyezi Mungu yalivyo makuu! Jinsi ilivyo ya ajabu! Jinsi ilivyo ya kushangaza! Tarumbeta saba zinatoa sauti, ngurumo saba zinatolewa, bakuli saba zinamwangwa—hii itadhihirika wazi mara moja na hakuwezi kuwa na shaka. Upendo wa Mungu huja juu yetu kila siku na ni Mwenyezi Mungu pekee Anayeweza kutuokoa;

2/12/2019

Nyimbo za Injili | Ni Bahati Yetu Nzuri Kumhudumia Mungu

I
Tunasikia sauti ya Mungu na kuthibitisha kuonekana na kazi ya Mungu.
Tuna bahati sana kukaribisha kurudi kwa Bwana.
Tunahisi msisimko sana kumwona Mungu wa vitendo uso kwa uso.
Ee! Kwa kuhudhuria sikukuu pamoja na Mungu, tunainuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni!

2/11/2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Kwanza)🎬🌠🌠


Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Kwanza)

Mwenyezi Mungu anasema, "Kile ambacho mwanadamu hukidhihirisha ni kile anachokiona, kupitia uzoefu na kukitafakari. Hata kama ni mafundisho au mitazamo, haya yote hufikiwa na fikra za mwanadamu. Bila kujali ukubwa wa kazi ya mwanadamu, haiwezi kuzidi mawanda ya uzoefu wa mwanadamu, kile ambacho mwanadamu huona, au kile ambacho mwanadamu anaweza kukitafakari au kuingia akilini mwake.