Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko Tatu
Mwenyezi Mungu alisema, Leo si tena Enzi ya Neema, wala enzi ya rehema, bali ni Enzi ya Ufalme ambamo watu wa Mungu wanafichuliwa, enzi ambayo kwayo Mungu hufanya mambo moja kwa moja kwa njia ya uungu. Hivyo, katika kifungu hiki cha maneno ya Mungu, Mungu huongoza wale wote ambao wanayakubali maneno Yake katika ulimwengu wa kiroho. Katika aya ya ufunguzi, Anatangulia kufanya maandalizi haya, na ikiwamtu ana maarifa ya maneno ya Mungu, atafuata nyuki ili apate asali, na ataelewamoja kwa moja kile ambacho Mungu Anatamani kutimiza kwa watu Wake.