3/18/2018

Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo

Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli

Qiuhe, Japani
Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki. Tangu nilipokuwa mdogo, nilihudhuria Misa kanisani na babu na bibi yangu. Kutokana na ushawishi wa mazingira yangu na imani yangu kwa Mungu, nilijifunza kuimba maandiko mengi tofauti na kufanya kaida mbalimbali za dini.
Mnamo 2009, niliwasili Japani ili kusoma. Wakati mmoja, katika chumba cha bweni cha mwanafunzi mwenzangu, kwa bahati nilikutana na kiongozi wa kikundi kidogo cha Kikristo aliyekuja kueneza injili. Nilifikiri: Waprotestanti na Wakatoliki humwamini Mungu mmoja. Wote wawili huamini katika Bwana Yesu. Matokeo yake, nilikubali mwaliko wa kiongozi huyo wa kundi ndogo kujiunga naye kanisani.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 11πŸ“–πŸ˜ŒπŸ€²

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 11

Kila binadamu anapaswa kukubali uchunguzi wa Roho Wangu, anapaswa kuchunguza kwa makini kila neno na kitendo chao, na, zaidi ya hayo, anapaswa kuangalia matendo Yangu ya ajabu. Mnahisi aje wakati wa kuwasili kwa ufalme duniani? Wakati Wanangu na watu Wangu wanarudi katika kiti Changu cha enzi, Naanza rasmi hukumu mbele ya kiti kikuu cheupe cha enzi. Ambayo ni kusema, Nianzapo binafsi kazi Yangu duniani, na wakati enzi ya hukumu inakaribia tamati yake, Naanza kuelekeza maneno Yangu kwa ulimwengu mzima, na kutoa sauti ya Roho Wangu kwa dunia nzima. Kupitia maneno Yangu, Nitasafisha wanadamu na mambo yote miongoni mwa yote yaliyo mbinguni na duniani, ili nchi si chafu na fisadi tena, lakini ni ufalme takatifu.

3/17/2018

πŸŽ¬πŸŽ¬πŸŽ‰πŸ™ŒKanisa | "Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli



πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘‡πŸ‘‡**************************************πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‰πŸ˜‰

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili
    Mzee wa kanisa Li, kutokana na imani pofu katika maneno ya wachungaji wa kidini, alihisi kwamba kazi na maneno yote ya Mungu yaliandikwa katika Biblia na kwamba chochote nje ya Biblia hakingeweza kuwa kazi na neno la Mungu. Li alifikiri kwamba yote aliyohitaji kufanya ni kushika Biblia na wakati Bwana angekuja tena, angenyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa hiyo, Li hakuipa fikira kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Wakati mmoja, Mzee Li alipata kujua kwamba mfanyakazi mwenza, Mzee Lin, alikuwa akichunguza Umeme wa Mashariki kwa zaidi ya mwaka mmoja. Kupitia kufanya ushirika na Mzee Lin, Mzee Li alikuja kuelewa ukweli wa kusikitisha kwamba alikuwa amenaswa na kufungwa na wachungaji wa kidini.

πŸŒΏπŸ™‚πŸ˜‡9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo
Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. … Tangu wakati huo akiwa na Yesu, Petro alitambua pia kwamba hulka Yake ilikuwa tofauti na ile ya binadamu wa kawaida. Siku zote alikuwa na mwenendo dhabiti na hakuwahi kuwa na haraka, hakupigia chuku wala kupuuza chochote, na aliyaishi maisha Yake kwa njia iliyokuwa ya kawaida na ya kuvutia. Katika mazungumzo, Yesu alikuwa mwenye madaha na uzuri, mwenye uwazi na mchangamfu ilhali pia mtulivu, na Hakuwahi kupoteza heshima Yake katika utekelezaji wa kazi Yake.

3/16/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?πŸ””πŸ‘πŸŒΉ

     πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‡➝➝➝➝➝➝➝➝➝➝➞➞➞➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨πŸ˜‡⏬⏬⏬⏬⏬
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
    Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya. Ni siri gani zilizomo ndani?

Je, Nishati Kuu Nyeusi ni ya Kushangaza na Isiyoeleweka?

    Nishati kubwa ya giza huelekeza utendaji kazi wa ulimwengu. Hivyo, pia, ina ushawishi mkubwa juu ya uzalishaji wa viumbe vyote na sheria ambazo kwazo wao huishi …


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Mtu Atarudi Kule Alikotok

    Kwa enzi zote, watu wote wamefuata sheria sawa za kuweko; kutoka kwa maneno yao ya kwanza hadi wakati nywele zao zinapogeuka kijivu, wao hutumia maisha yao yote wakikurupuka huku na kule, hadi hatimaye wanageuka mavumbi …

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika? Kama inabidi ujilazimishe kuhubiri, basi kwa upande mmoja Roho Mtakatifu hatafanya kazi, na kwa upande huo mwingine, hakuna faida kwa watu. Kama hujapata uzoefu wa ukweli lakini bado unataka kuhubiri kuuhusu basi, haijalishi unachosema, hautahubiri kwa dhahiri—utakuwa tu unahubiri vitu vya juu juu.

3/15/2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 9πŸ””πŸ“šπŸ€²

************************************************
***********************

Umeme wa Mashariki | Sura ya 9

Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong'aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake. Kwa sababu Nilitoka katika nchi takatifu, si kama yungiyungi, ambalo lina jina tu na halina dutu kwa sababu lilikuja kutoka katika matope na si kutoka nchi takatifu. Wakati ambapo mbingu mpya inashuka duniani na nchi mpya kuenea juu ya anga ndio pia wakati hasa ambao Ninafanya kazi kirasmi miongoni mwa binadamu. Ni nani kati ya wanadamu anayenijua Mimi? Ni nani aliyeona wakati wa kuwasili Kwangu? Ni nani ameona kwamba Mimi sina jina tu, bali zaidi ya jina Nina dutu? Mimi huyasongeza mawingu meupe kwa mkono wangu na kwa karibu Naichunguza anga;

πŸ“–πŸ™‚Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 8

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 8 

Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na wakati hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambao watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza nafsi Yangu na wanafaa kwa matumizi Yangu. Nani anaweza kusimama na kushirikiana na Mimi? Upendo wa mwanadamu Kwangu ni mdogo mno na imani yake Kwangu ni ndogo ajabu.

3/14/2018

πŸ–Ό️πŸ‘πŸ˜‡Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nani Hushikilia Ukuu Juu ya Vitu Vyote Ulimwengu?

  ➛Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nani Hushikilia Ukuu Juu ya Vitu Vyote Ulimwengu? 

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
    Mungu asema: “Wanadamu hawajui ni nani Mkuu wa kila kitu katika ulimwengu huu, aidha hajui mwanzo na mustakabali wa wanadamu.”

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili

Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?

    Mungu asema: "Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa.” 

πŸ–Ό️πŸ‘Umeme wa Mashariki |《Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu》

Kuushikilia Ulimwengu, Kuwatunza Viumbe Wote Wanaoishi

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
  1. Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Viumbe vyote hufuata sheria zisizobadilika za maisha—ni nani huamuru sheria hizi?
  2. Mungu asema: “Anaweza kuamuru utendaji mambo katika ulimwengu na kushikilia ukuu juu ya maisha na kifo cha viumbe vyote, na, vilevile, Anaweza kushughulikia viumbe vyote ili viweze kumhudumia Yeye; Anaweza kusimamia kazi zote za milima, mito, na maziwa, na kutawala viumbe vyote ndani yake, na, zaidi ya hayo, Anaweza kutoa kile ambacho kinahitajika na viumbe vyote.

3/13/2018

πŸ§‘πŸ’–πŸŒ±53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu. Aidha, bila kujali kiwango cha dosari kaka na dada zangu wangeonyesha, ningekikiri na kukikubali. Sikutafuta kujitetea mwenyewe, hivyo nilidhani kwamba nilikuwa mtu ambaye kwa hakika alikubali ukweli.

πŸ“–πŸ€²πŸ™‚Watu Waliochaguliwa Nchini China Hawawezi Kuwakilisha Kabila Lolote la Israeli

Mwenyezi Mungu alisema, Nyumba ya Daudi ilipokea ahadi ya Bwana, na ilikuwa ni familia iliyopokea urithi wa Yehova. Ilikuwa kwa asili moja ya makabila ya Israeli na ilikuwa ya watu waliochaguliwa. Wakati huo, Yehova aliamuru sheria iwepo kwa Wana wa Israeli kuwa Wayahudi wote waliokuwa wa nyumba ya Daudi, wale wote waliozaliwa katika nyumba hiyo wangepokea urithi Wake. Wangepokea sehemu mia kwa moja na kupata hadhi ya wana wa kiume wazaliwa wa kwanza. Wakati huo, wao ndio waliokuwa wameinuliwa zaidi miongoni mwa Waisraeli wote—walikuwa na cheo cha juu zaidi miongoni mwa familia zote za Israeli, na walimhudumia Yehova hekaluni moja kwa moja, kama wamevaa kanzu za ukuhani na mataji.

3/12/2018

πŸ“–πŸ“–Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Tabia ya Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia. Ni tumaini Langu kwamba utaweza kutazamia suala hili kwa dhati; kwa vyovyote vile hufai kulishughulikia shingo-upande! Sasa, je, kujua mamlaka ya Mungu ni sawa na kujua Mungu kwa uzima wake? Mtu anaweza kusema kwamba kujua mamlaka ya Mungu ndiyo mwanzo wa kumjua Mungu mwenyewe kwa upekee wake, na mtu anaweza kusema pia kwamba kuyajua mamlaka ya Mungu kunamaanisha kwamba mtu tayari ameingia kwenye lango kuu la kujua hali halisi ya ule upekee wa Mungu Mwenyewe.