Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe. Lakini wakati wanapokutana, makada wa kijiji wanakuja mmoja baada ya mwingine kuangalia kila pahali, wakitoa visingizio mbalimbali, na kisha hata kuwaleta polisi wa CCP ndani....
"Mungu anatekeleza hatua ya kazi kubwa kila wakati yeye hujifunua. Kazi hii ni tofauti na ile ya enzi mwingine yoyote. Haiwezi kufikiriwa na mtu, na haijawahi kujifunza na mwanadamu. Ni kazi ambayo huanza enzi mpya na huhitimisha enzi, na ni aina mpya ya kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; Zaidi ya hayo, ni kazi ya kuwaleta wanadamu katika wakati mpya. Hiyo ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu. kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili"
6/16/2019
6/15/2019
Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" (Swahili Sub)
Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)
Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima.
Wanaitoa mioyo yao kwa Mungu, Mungu anawaamini, na wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu.
Watu waaminifu hufurahia kutenda ukweli, na kwa kumtii Mungu mioyo yao ina amani.
6/14/2019
Neno la Mungu | Sura ya 88
Watu hawawezi tu kuwaza kiasi ambacho mwendo Wangu umezidisha kasi: Ni ajabu ambayo imetokea isiyoeleweka kwa mwanadamu. Tangu uumbaji wa dunia, mwendo Wangu umeendelea na kazi Yangu haijawahi kusimama. Ulimwengu wote hubadilika siku kwa siku na watu pia wanabadilika mara kwa mara. Hizi zote ni kazi Zangu, mipango Yangu yote na hata zaidi, usimamizi Wangu—hakuna mtu anayejua au kuelewa hivi vitu. Wakati tu Mimi Mwenyewe Ninapowaambia, wakati tu Ninapowasiliana nanyi uso kwa uso kuihusu ndipo unajua kidogo;
6/13/2019
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 74
Mwenyezi Mungu anasema, “Wamebarikiwa wale ambao wamelisoma neno Langu na kuamini kwamba litatimizwa—Sitakutendea vibaya, lakini Nitafanya yale unayoamini yatimizwe kwako. Hii ni baraka Yangu ikija juu yako. Neno Langu linapiga siri zilizofichwa ndani ya kila mtu. Kila mtu ana majeraha ya mauti, na Mimi ni tabibu mzuri ambaye anayaponya—njoo tu katika uwepo Wangu. Kwa nini Nilisema kuwa katika siku zijazo hakutakuwa tena na huzuni na hakutakuwa na machozi? Ni kwa sababu ya hili.
6/12/2019
“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Clip 7
“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki | Filamu za Injili (Movie Clip 7/7)
Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka. Unaweza kuamsha na kuokoa jamii ya binadamu na vilevile kusababisha watu kujinasua kutoka kwa nguvu zote za Shetani na kumrudia Mungu. Ndiyo sababu, ili kulinda umaarufu wao wenyewe, faida na hadhi, viongozi wa ulimwengu wa kidini humpiga Kristo misumari msalabani tena.
6/11/2019
Wimbo wa Dini | Wimbo wa Onyo Jema
Wimbo wa Dini | Wimbo wa Onyo Jema
Kristo ni mshindi. Kristo ni mshindi.
I
Kwa kumfuata Mungu na kupata ukweli, unaitembea njia ya uzima.
Kwa kutafuta teolojia na kujadili nadharia, unawadhuru wengine na wewe mwenyewe.
Kuhubiri mafundisho na kushikilia sheria kunaonyesha kwamba huna uhalisi.
Kwa kutoa wito kwa sauti na kutotenda, unamdanganya Mungu waziwazi.
6/10/2019
Filamu za Kikristo "Wokovu" | Does Forgiveness of Sins Mean Full Salvation?
Wokovu ni nini? Wale wanaoamini katika Bwana Yesu hufikiria kwamba ikiwa wataomba kwa dhati kwa Bwana, waungame dhambi zao, na kutubu, dhambi zao zitasamehewa, na watapewa wokovu, na Bwana Atakapokuja, wao watainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni. Lakini je, wokovu kweli ni rahisi hivyo?
Shujaa katika filamu, Xu Zhiqian, ameamini katika Mungu kwa miaka mingi, akijitolea kwa shauku kwa Mungu, na kuacha kila kitu ili kutenda wajibu wake. Kwa ajili ya hili, alikamatwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China. Baada ya kuachiliwa kutoka gerezani, aliendelea kutekeleza wajibu wake, alipata uzoefu kidogo wa vitendo, na mahubiri yake na kazi ilitatua matatizo ya matendo kwa ndugu zake.
6/09/2019
Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie
6/08/2019
“Kupita Katika Mtego” – Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia | Clip 2
“Kupita Katika Mtego” – Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia | Filamu za Injili (Movie Clip 2/7)
Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini mara nyingi huelezea Biblia kwa watu na kuwafanya washikilie Biblia. Kwa kufanya hivi, je, kwa kweli wanamwinua Bwana na kutoa ushahidi kwa ajili Yake? Watu wengi hawawezi kufahanu hili. Wachungaji na wazee huinua maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia, kutumia maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia kuchukua nafasi ya Bwana na kupinga maneno ya Bwana, na kuwaongoza watu katika ushirikina na kuabudu Biblia, ili Mungu atakapofanya kazi Yake mpya watu wengi wanajua tu Biblia na hawamjui Mungu, hata mpaka ambapo wanampiga Mwenye mwili msumari msalabani kulingana na Biblia. Kulingana na ukweli huu, je, wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini kweli wanamtukuza Bwana kwa kuelezea Biblia? Video hii fupi itakufunulia ukweli.
Tazama Video: “Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu? | Swahili Gospel Film Clip 5/6
6/07/2019
“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Clip 1
“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Filamu za Injili (Movie Clip 1/7)
Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?
Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Yesu mara ya pili
6/06/2019
Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God
"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwako! Ukiendelea kumwamini Mungu, utaishia kufa!" Wakiwa na fimbo za umeme mikononi, polisi wa Kikomunisti wa China wanamvamia kijana huyu ambaye amejawa na mavilio ya damu.
Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.
Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.
6/05/2019
Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?
Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?
Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu. Hii ilifanya mateso na kudhoofika kwa kukosa kutwaliwa na Mungu na kuanguka katika giza iwe ya ukweli zaidi kwake. ]6/04/2019
neno la Mungu | Sura ya 71
Mwenyezi Mungu anasema, “Mimi wote Nimejiweka dhahiri kwenu, lakini kwa nini mnashindwa kutafakari maneno Yangu kwa mioyo na nafsi zenu zote? Kwa nini mnachukua maneno Yangu kama takataka? Je,yote Ninayosema ni makosefu? Je, maneno Yangu yamekupiga katika sehemu ya uzima? Daima kuchelewesha, daima kusita, kwa nini mnafanya mambo hivi? Je, Mimi sijaongea wazi? Nimesema mara nyingi sana kwamba maneno Yangu lazima yatafakariwe kwa makini, na lazima yazingatiwe kwa makini.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)